Yajue majina ya ajabuajabu/ya pekee ndani ya WANAJF

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,261
1,222
Kuna majina ya pekee au ya ajabu kiaina humu jukwaani. naweka orodha hapa kisha mhusika akiona jina au ID yake aitike tujue yupo, unaweza kuongeza majina mengine ya ajabuajabu!
1. Uporo wa wali Ndondo
2. Kunguni wa Ulaya
3. Mhuni
4. Jambazi
5. Kaka Jambazi
6. Mikataba feki
7. Mkwepa kodi
8. Fisadi kuu
9. Nyani Ngabu
10. Chikira Mtibira
11. Bigbootylover
12. Robot la matope
13. Konda wa bodaboda
14. Babu wa Kambo
15. Kipara kipya
16. Jipu kubwa
17. Inzi
18. Fekifeki
N.B: Ongeza wengine wa ajabuajabu/wa pekee
 
Kuna mmoja aliletaga thread mwaka 2013 akiomba ushauri eti akitembea makalio yake yanatikisika haswa na vijana wanampigia miluzi, kumbe ni mwanaume bwana.
Sasa kuna siku mwaka huo huo akafanya kosa, mod akaunganisha ID yake ya kike na ya kiume ambayo ni maarufu.
Huyu aliitwa giLesi aliyejaaliwa.
 
Bujibuji.

swissme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom