UJENZI_VIWANJA
Member
- Sep 27, 2019
- 67
- 46
Huko mwasonga tatizo Mmejaa utapeli ndio hata sisi hatuwez kutafuta project ya kufanyia kazi hukoNina eneo Kigamboni, Mwasonga Sqm 1 nauza Tshs 7,000/= Kuna Sqm zaidi ya 40,000View attachment 1228695
Hivi kuna watu wasiojiweza? Hao wanaojiweza ndo wanafananaje mkuu?MBWENI USALAMA
Eneo lipo mita 100 kutoka barabara ya Lami
Eneo limezungukwa na watu wanaojiweza
Tupigie; 0713132109, 0752602988 View attachment 1228718
Huko mwasonga tatizo Mmejaa utapeli ndio hata sisi hatuwez kutafuta project ya kufanyia kazi huko
angalia hapo chini kwenye pichaUsipoweka bei hadharani hututendei haki mkuu
Waweza kuandika range ya bei kutokana na sqm? Au mna fixed price per sqm? Ni karibu ya usalama kwa upande wa block A au B? Pls adviseangalia hapo chini kwenye picha View attachment 1229309
Dodoma mna viwanja sehemu gani? Sh ngapi kwa sqm??? Na viwanja vina ukubwa gani?Kuna neno vijana na watu wa makamu kidogo hupendelea kusema hotcake area pale inapofika kutimiza ndoto zao za kununua viwanja na kutaka kujenga basi hukaa na kushilikishana kujua maeneo mazuri na yamepangika vizur na kuna hadhi ya wenyew kununua ili asiseme Nakaa Dar bali Naishi Dar(mana kuna tofauti katika maneno hayo).
Basi kutokana na tafiti iliyofanywa na kampuni yetu na kuchukua uzoefu wa uuzaji na ununuaji wa maeneo tumegundua hizi ndio sehemu zinazoongoza kupendwa na vijana;-
1. GOBA
2. MBWENI
3. MADALE
5. BUNJU
6. KIGAMBONI
7. MBEZI MSAKUZI
8. KIFURU
9. MBEZI MPIGI MAGOE
10. DODOMA
Nakushauri kijana wa sasa ukihitaji kununua hotcake areas nenda kwa hawa jamaa SUSTAINABLE CITIES COMPANY LIMITED mana maeneo yao yamepimwa na yana hati miliki na bei zao nzuri.
Dodoma tuna viwanja NALA palepale Mizani tunauza sh.5000 per sqm na ukubwa unaanzia 450 sqm mpaka 1200sqm.Dodoma mna viwanja sehemu gani? Sh ngapi kwa sqm??? Na viwanja vina ukubwa gani?