Vijana nunueni maeneo na mashamba badala ya kujenga nyumba na kununua magari ya starehe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ushauri kwa vijana wenzangu.

Badala ya kujenga nyumba , ni kheri ukanunua maeneo / mashamba huku na huko badala ya kukimbilia kupandisha nyumba.

Thamani ya ardhi inapanda kila kukicha.

Mfano badala ya kununua Alteza ya 13 mil , una uwezo wa kununua mashamba hata ekari 4 mpaka 5 tena sehemu nzuri kabisa ambazo unaweza fuga au kulima na pia ukauza hapo baadae kama makazi.

Usikimbilie kujenga nyumba.

Population inaongezeka. Ardhi ni ileile , haiongezeki size.

Fikiria kwa ajili ya watoto wako zaidi kuliko kujifikiria wewe sasahivi.

Baadae itakuwa taabu sana kupata maeneo. Itakuwa shida sana ndugu zangu.

Wazo la jumatatu !
 
akili za kimaskini, kwanini unaiogopa kesho ? Tabia za nyarubanja karne ya 19 kujimilikisha ardhi kubwa i
Mimi nawashauri vijana wakipata hela wasafiri waende nje ya nchi wajifunze fursa mpya waje wawekeze nyumbani
 
Ushauri kwa vijana wenzangu.

Badala ya kujenga nyumba , ni kheri ukanunua maeneo / mashamba huku na huko badala ya kukimbilia kupandisha nyumba.

Thamani ya ardhi inapanda kila kukicha.

Mfano badala ya kununua Alteza ya 13 mil , una uwezo wa kununua mashamba hata ekari 4 mpaka 5 tena sehemu nzuri kabisa ambazo unaweza fuga au kulima na pia ukauza hapo baadae kama makazi.

Usikimbilie kujenga nyumba.

Population inaongezeka. Ardhi ni ileile , haiongezeki size.

Fikiria kwa ajili ya watoto wako zaidi kuliko kujifikiria wewe sasahivi.

Baadae itakuwa taabu sana kupata maeneo. Itakuwa shida sana ndugu zangu.

Wazo la jumatatu !
Tusipangiane jinsi ya kutumia pesa kwasababu hatujasaidiana kuzitafuta.
 
Ila wazo la mdau ni zuri sana kwani maisha ya baadaye ardhi itakuwa na thamani sana hasa vijijini kutokana na maendeleo ya viwanda napendekeza zaidi viwanda vijengwe huko paliko na malighafi Ya mazao husika
 
Wacha tuonjepo na siye! Nilinunua gari wakati bado nasoma chuo. Aisee, nili enjoy sanaaaa....
Pale You Dii, nilizigeuza bara bara kuwa formula 1 circuit... Full kuwa na title kubwa. Full kufahamika.... Kumiliki gari katika umri mdogo, raha aisee!

Tusipangiane jinsi ya kutumia pesa kwasababu hatujasaidiana kuzitafuta.
Ha haa! Mkuu, mbona unakuwa mkali? Umenichekesha sana ila nimeamua kuku dislike kwa jinsi ulivyojibu kwa ukali...
 
Vijana nunueni magari mtambilike mtaani ,mm babu yenu hapa nilinunua viwanja katika ujana wangu sikutambulika hata kidogo ,,gari ni title kubwa sana mtaani.
 
Back
Top Bottom