UJENZI_VIWANJA
Member
- Sep 27, 2019
- 67
- 46
Kuna neno vijana na watu wa makamu kidogo hupendelea kusema hotcake area pale inapofika kutimiza ndoto zao za kununua viwanja na kutaka kujenga basi hukaa na kushilikishana kujua maeneo mazuri na yamepangika vizur na kuna hadhi ya wenyew kununua ili asiseme Nakaa Dar bali Naishi Dar(mana kuna tofauti katika maneno hayo).
Basi kutokana na tafiti iliyofanywa na kampuni yetu na kuchukua uzoefu wa uuzaji na ununuaji wa maeneo tumegundua hizi ndio sehemu zinazoongoza kupendwa na vijana;-
1. GOBA
2. MBWENI
3. MADALE
5. BUNJU
6. KIGAMBONI
7. MBEZI MSAKUZI
8. KIFURU
9. MBEZI MPIGI MAGOE
10. DODOMA
Nakushauri kijana wa sasa ukihitaji kununua hotcake areas nenda kwa hawa jamaa SUSTAINABLE CITIES COMPANY LIMITED mana maeneo yao yamepimwa na yana hati miliki na bei zao nzuri.