Hahaa, mke mwema hapatikani kwenye mitandao.Mtumishi sijui kama we ni wa kike au kiume maana mtu anaweza kuweka avator/profile/status isiyo sahihi. Kwa jinsi ulivyo na unavyowasilisha mada nimevutiwa nawe kiasi cha kuuliza kama naweza kuona maono kwa lugha nyingine kuulizia kama jimbo liko wazi. Nadhani nitakuwa na ndoa imara yenye maadili ya kiungu
Walokoke Hawa Hawa tunao wauzia Azuma Kila Leo?
Actually, huu uzi ni ushuhuda wa maisha yangu binafsi. Evaluation niliishafanya ndo nikapata wazo la kuandika huu uzi. Hizo ni tangible benefits za salvation ambazo mimi binafsi nimeonja.Haya mwambie afanye evaluation binafsi ya maisha yake.
Sababu ya ubishi...Sure, wanaokufa kwa sababu ya magonjwa ya zinaa wanakufa kizembe sana.
Hakuna mtakatifu kwenye hii duniaUmemuelewa mleta mada kweli? Amesema wanaoishi maisha matakatifu, ondoa pembeni wanaoigiza, ukimjua Yesu na ujazwe na Roho Mtakatifu utaishi maisha matamu sana, hamna hofu ya majini na maushetani mengine yote.
Akishanunua huyo sioWalokoke Hawa Hawa tunao wauzia Azuma Kila Leo?
Walokole ni wapumbavu huo ndiyo ukweli ..kila kitu wanacho sema kuhusu Mungu ni uongo na unafiki...awalogeki kwa sababu wapi daraja ya juu katika ufalme wa shetani .....Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible and experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Mhubiri 7:20Hakuna mtakatifu kwenye hii dunia
Hakuna maajabu hapa bali kutojua maana ya maajabu. Mfano, watarogekaje wakati walisharogwa na warogwe mara ngapi?Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible aanHd experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Kuna kuokoka????Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”
Mwisho wao ni wa utukufu kwa sababu Mungu anawaandalia makao ya milele(glorious eternal homes prepared by God!) Yn 14:2-3
- Hawalogeki. Wachawi wakijaribu kuwaloga ili waugue au wapate mikosi, uchawi wao unafeli. Isa 54:17
- Wakifanya biashara, pesa yao haiibiwi na 'chuma ulete.' Mungu analinda kazi zao. Kum 28:8
- Hawaugui magonjwa ya zinaa kama vile Syphilis, Gonorrhea, Chlamydia, Genital Herpes - HSV-2, Human Papillomavirus - HPV, Trichomoniasis, Chancroid... kwakuwa uasherati na uzinzi ni marufuku kwao. 1 Kor 6:18
- Wana amani tele hata katikati ya dhoruba za maisha. Yn 14:27
- Maombi na dua zao zinajibiwa. Yer 33:3
- Wana furaha ya kweli isiyoyumbishwa na hali za dunia. Neh 8:10
- Mungu huwalinda dhidi ya maadui zao. Zab 91:7
- Wana ujasiri wa kipekee. 2 Tim 1:7
- Wanaona miujiza mingi katika maisha yao. Mk 16:17-18
- Wanapokumbwa na majaribu, wanashinda kwa kishindo. 1 Yoh 5:4
- Wanaongozwa na Roho Mtakatifu katika maamuzi yao. Rum 8:14
- Hawafi mapema kabla ya wakati wao. Zab 118:17
- Mungu huwafungulia milango ya fursa na neema. Ufu 3:8
- Hawana hofu wanapolala usiku. Wanalala usingizi wa amani. Zab 4:8
- Wanapotoa, wanabarikiwa maradufu. Lk 6:38
- Wanapata ushindi bila wao kupigana kwa kuwa Mungu huwapigania. Kut 14:14.
- Wanakwepa mitego ya adui kwa ufunuo wa Mungu. Amo 3:7; Mt 10:26
- Wanapitia magumu, lakini wanatoka wakiwa na ushindi. Yk 1:12
- Mawazo yao yamejaa amani na si hofu. Isa 26:3
- Hawadanganywi kirahisi na mafundisho potofu, kwa sababu wana Roho wa Mungu. 1 Yoh 2:27
Kama ulidanganyika na kuamini kwamba kuokoka ni ujinga basi leo umeujua ukweli. Kuokoka ni faida na wala sio hasara.
Those are the tangible and experiential benefits of salvation. If you were previously misled into believing that surrendering to Christ is folly, today you have encountered the undeniable truth. Welcome to the sanctified family of the redeemed in Christ.
Sure ni wachoyo sana na wabinafsi hasa kwa yule Ambae si kundi lao unabaguliwa wanakuona mwenye hatiaIla hawa ndo watu maskini kabisa! Wanakunywa soda ngumu Sana kuwaomba soda akanunua tofauti na Sisi wanywa bia na matajiri na sii maskini
Unaongelea walokole gani ! Maana tunaishi nao mitaani na tunawaona maisha yao.Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:”