turashashe jr
Member
- Dec 25, 2014
- 45
- 35
Kwanza mi simwiti mtu aje kwangu mana kazi yao unaweza kupoteza Maisha lakini kwa kuwa wao wanahitaji Maisha bora na kujulikana kuwa watumishi wa mungu huwa naifanya na wote bahati nzuri wamefata masharti na Maisha yanakwenda na hata mwaka huu kuna kanisa linafunguliwa na litabeba waumini wengi tu wilaya kinondoni subili maajabu ya huyo mchungaji wao sasa
am a catholic, and i will die a catholic, period! hizo nyingine ni mbwembwe tu!
Mimi seriously kwa moyo mmoja napenda kabisa kujifunza haya mambo kwa manufaa ya kupata elimu na sivinginevyo
Ally Kombo unataka unipangie hata nguo ya kuvaa na chakula? Na kipi nisichotaka kiqndikwe? After all mimi sio mod! Nimejifunza uchawi na ushirikina kwa miaka mingi tu lakini sijawahi kudhuru mtu na hapa nataka niongeze ujuziSasa mbona 'mengine' unabagua na hutaki yaandikwe !?
The thread you are referring to is frivolous.usipate taabu na huyu fallen angel nenda jamii intelligence tazama uzi wa astral projection getting out of the body halaf soma posts zake zote unganisha dots........
How will you be able to do that since you are denying the Omnipotence of Holy Spirit?Subiri na wewe ukifa utafufuliwa
Acheni mambo ya ajabu bhana
Cha msingi hapa ni kujiandaa maana hatujui siku wala saa tutakapotoka hapa duniani
Mambo ya kufufuka not in this life time jombaa
Halafu pia tatizo lingine watu wanaitafsiiri biblia kama uwazi nipashe kiu ya jibu ndo mana tunachanganyikiwa biblia inahitaji utulivu
Kwahiyo Quran ni Kitabu cha nabii/mtume na sio Mungu. You are very smart young muhammadan.Kwani Biblia ni Kitabu cha Nabii/Mtume nani !?
Maana Injil ni ya Yesu, Tourat ya Musa, Zaburi ya Daudi, Suufi cha Ibrahim, Wimbo bora cha Suleiman, na Qur'an cha Muhammad
How will you be able to do that since you are denying the Omnipotence of Holy Spirit?
How will you be able to do that since you are denying the Omnipotence of Holy Spirit?
FYI: The body of your thread is still FRIVOLOUS and unmeritorious.Kwahiyo ulikuwa unanichallange ili iweje sasa! Naamini ni muumini mzuri wa kufuatilia vipindi vya dini redioni vya hawa manabii na mitume yale wayafanyayo ndio Yesu aliyafanya? Kuomba sadaka/michango/ misaada kupitia nambari binafsi na akaunti binafsi? Kuwapiga vijembe wenzao? Kuongea mipasho?
I know what I argue, it is you who accuses people without evidence. Still you did not give me evidence.Labda kama hufuatilii nafikiri ungepata picha tofauti inawezekana kabisa unapinga usichokijua, nimekwambia zaidi ya mara tatu kwamba sipingani na Neno la Mungu bali mafundisho na matendo ya hawa jamaa
That is fine and doesn't change anything. This is 2015 and it is not unbiblical to say Jesus heals on the TV.Tuna madhehebu ya Kikatoliki Kilutheri Kipentekoste nk tuna wahubiri wazuri tu wanaotenda miujiza na kuponya watu nk hawajitangazi kwenye vyombo vya habari
This is proof that you have issues with the body of Christ. It seems you don't even know why are you a Christian. People like you are the ones calling Christianity a religion.Sadaka zetu zina utaratibu, zinatangazwa na kila senti tunaambiwa inaenda wapi na kufanya nini, jamii inahudumiwa kwa kiasi kikubwa mno na makanisa haya na bado watumishi wake hawajikwezi hawaweki mabango makubwamakubwa yenye picha zao kujitangaza
What do you want to know about them?Nimekuuliza habari za mitume na manabii waliotabiriwa kwenye Bible umekaa kimya! Hata wao kwenye mahubiri yao huwa wanapotezea hivi vifungu
You never openly glorify the Holy Spirit who is Omnipotent, but accusing Him and impugning His infallible and inspired Word.Haha oky if yo say so.....
FYI: The body of your thread is still FRIVOLOUS and unmeritorious.
I know what I argue, it is you who accuses people without evidence. Still you did not give me evidence.
That is fine and doesn't change anything. This is 2015 and it is not unbiblical to say Jesus heals on the TV.
This is proof that you have issues with the body of Christ. It seems you don't even know why are you a Christian. People like you are the ones calling Christianity a religion.
What do you want to know about them?
What dispensation are you talking about?
:nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::nod::tape:Sometimes silence is the best answer..!
Bado nashindwa kuelewa kwanini unapingana nami! Kwanza sijabadili heading bali nilikusahihisha wewe , pili sipingani na Bible bali napingana na mafundisho ya watu wanaoojiita manabii na mitume wa siku hizi jaribu kuelewa ninachoongelea
Achana naye huyo.pengine ni mmoja wao.maana hiyo hiyo bible imesema pia watakuja manabii wa uwongo na kufanya miukiza.! Yeye kashupalia hapo hapo au ndo gwajima huyo.?
Ally Kombo unataka unipangie hata nguo ya kuvaa na chakula? Na kipi nisichotaka kiqndikwe? After all mimi sio mod! Nimejifunza uchawi na ushirikina kwa miaka mingi tu lakini sijawahi kudhuru mtu na hapa nataka niongeze ujuzi
Ninachopingana na wengi akiwemo wewe Ally Kombo ni kashfa kwa imani za wengine
Kwahiyo Quran ni Kitabu cha nabii/mtume na sio Mungu. You are very smart young muhammadan.