Yahusu wafufuao wafu na misukule


Kwahiyo ulikuwa unanichallange ili iweje sasa! Naamini ni muumini mzuri wa kufuatilia vipindi vya dini redioni vya hawa manabii na mitume yale wayafanyayo ndio Yesu aliyafanya? Kuomba sadaka/michango/ misaada kupitia nambari binafsi na akaunti binafsi? Kuwapiga vijembe wenzao? Kuongea mipasho?
Labda kama hufuatilii nafikiri ungepata picha tofauti inawezekana kabisa unapinga usichokijua, nimekwambia zaidi ya mara tatu kwamba sipingani na Neno la Mungu bali mafundisho na matendo ya hawa jamaa

Tuna madhehebu ya Kikatoliki Kilutheri Kipentekoste nk tuna wahubiri wazuri tu wanaotenda miujiza na kuponya watu nk hawajitangazi kwenye vyombo vya habari

Sadaka zetu zina utaratibu, zinatangazwa na kila senti tunaambiwa inaenda wapi na kufanya nini, jamii inahudumiwa kwa kiasi kikubwa mno na makanisa haya na bado watumishi wake hawajikwezi hawaweki mabango makubwamakubwa yenye picha zao kujitangaza
Nimekuuliza habari za mitume na manabii waliotabiriwa kwenye Bible umekaa kimya! Hata wao kwenye mahubiri yao huwa wanapotezea hivi vifungu
 
I always stand on the Bible, that is my Philosophy, If you don't say what the Bible says, then you are not following the true God.

Kwani Biblia ni Kitabu cha Nabii/Mtume nani !?
Maana Injil ni ya Yesu, Tourat ya Musa, Zaburi ya Daudi, Suufi cha Ibrahim, Wimbo bora cha Suleiman, na Qur'an cha Muhammad
 
Vile vile nemulo unabii hujipi mwenyewe bali hutokea kwa uweza wake Mungu! Hawa wetu hawa wa siku hizi ni changa la macho na mawakala wakubwa wa ibilisi kuanzia ibada zao mpaka matendo yao! Neno linasema hivi 'BALI MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO'

Waislam hatuna mashaka na Manabii......maana wametajwa wote, na tukaambiwa nani ni wa mwisho ! 90% ni 'Bani Israel'
 
Last edited by a moderator:
Does the Bible says "YE SHALL RAISE THE DEAD"? Yes, it does.

Here is the proof from the infallible word of God. Matthew 10:8 Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.

Subiri na wewe ukifa utafufuliwa
Acheni mambo ya ajabu bhana
Cha msingi hapa ni kujiandaa maana hatujui siku wala saa tutakapotoka hapa duniani
Mambo ya kufufuka not in this life time jombaa
Halafu pia tatizo lingine watu wanaitafsiiri biblia kama uwazi nipashe kiu ya jibu ndo mana tunachanganyikiwa biblia inahitaji utulivu
 
Waislam hatuna mashaka na Manabii......maana wametajwa wote, na tukaambiwa nani ni wa mwisho ! 90% ni 'Bani Israel'
Ally Kombo naomba unielewe tena sijazungumzia imani za dini nyingine! Hii yako ni topic nyingine tofauti kabisa na na kile nilichopost nakushauri anzisha mada yako kuhusiana na hiyo server ya JF bado ina nafasi kubwa sana
 
Last edited by a moderator:

Wagalatia wote ni wajinga tu ! kama mpaka karne hii ambayo ina viwango vya juu vya elimu na hamuwezi kutanabahi Unabii/Utume !?.....
Manabii/Mitume gani hao wasio na Vitabu !?
Mtafute Nabii Mkuu Victor Kanyari Mwangi katika 'you tube' uone ujinga wenu.
 
Last edited by a moderator:
Ally Kombo naomba unielewe tena sijazungumzia imani za dini nyingine! Hii yako ni topic nyingine tofauti kabisa na na kile nilichopost nakushauri anzisha mada yako kuhusiana na hiyo server ya JF bado ina nafasi kubwa sana

Natoa solution juu ya tatizo lako/lenu ! kunywa dawa hata kama ni chungu.
 
Last edited by a moderator:

usipate taabu na huyu fallen angel nenda jamii intelligence tazama uzi wa astral projection getting out of the body halaf soma posts zake zote unganisha dots........
 

Natoa solution juu ya tatizo lako/lenu ! kunywa dawa hata kama ni chungu.

Mtu yeyote anayekimbilia kutoa kejeli, matusi na kashfa kwenye chochote huyo mwisho wake wa kufikiri ndio unakuwa umefikia hapo! Nimekushauri jambo moja la busara kabisa anzisha mada zako uongelee yote utakayo yakiwemo haya ya ujinga wa wagalatia huku umepotea njia Ally Kombo am better than you a hundred times ndio maana siwezi kujibu kama unavyojibu wewe! Chagiza kwa hoja utaeleweka ndugu
 
Last edited by a moderator:

Kama mtu una danganywa na potassium permanganate na kuambiwa kuwa maji yameombewa mpaka yamegeuka damu wewe ni mjinga tu ! kama unakunywa Dodoma wine Altareni na kuambiwa ni damu ya Yesu wewe ni mjinga tu ! kama unapigia magoti sanamu ya Bikira Maria wewe ni mjinga tu ! kama ulikunywa kikombe cha Babu wa Loliondo/Samunge your a total fool!
Silim, Nyenyekea !
 
Last edited by a moderator:

Huu ni mtazamo wako na uelewa wako kuhusu haya mambo siwezi kubishana nawe kwakuwa ndani ya ufahamu wako haya ndio yaliyojaa na ndio unayoyafahamu na ndio unayoyashikia bango kuonyesha kuwa we we unajua zaidi kuhusu Mimi na imani yangu

Hili kwangu sioni kwamba ni jambo jipya wala la ajabu kusikia maneno kama hayo kutoka kwako! Kwakuwa haukuwa wa kwanza kuyatamka na hautakuwa wa mwisho
 
Kwani unajua kwa nini masheh wako huwa wanatumia Quran kurogea watu na unajua kwa nini kuna sura ukichanganya na damu ya wanyama saba inakuwa hilizi ya chumaulete na mtume amekataza isifukiwe alidhini unajua sababu ndio mana nakwambia usikashifu wenzako hadi kwenu ni hivyo hivyo@Ally kombo
 

Uislamu aupo kitapeli kama ulivyodanganywa sasa naomba unitajie sura gani au haya gani katika qur an inatumika kurogea alafu na mimi nikitafutie kwenye biblia. Nakusubir hapahapa
 

ukweli wa haya mambo ufe huko utakako kwenda ndio utaelewa kwamba huyu ni nabii au mwanamazingaombwe
 

umesahau hata biblia ilisema yakuwa watu watafanya miujiza mikubwa zaidi ya yale yaliyofanywa na yesu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…