bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Wewe mtani wangu acha tu,
Wapo watu hata leo hii wanaamini kuwa wakienda
kwa gwajima mfu wao atafufuka.
Hata wasomi wazuri wa Biblia usishangae unapoambiwa
kuwa wakifiwa wanapeleka maiti huko ili ikafufuliwe,
cha ajabu ni kwamba wanarudi na mfu wao.
Hili la mapepo, hawa wahubiri huwa wanatumia mbinu moja
anapokuwekea mikono anakupush nyuma kiasi kama hauna
balance ni lazima utaanguka tu.
Na ndiyo maana akina mama wengi ndio wanaanguka
si hatuna nguvu sana.
Mkuu inasikitisha sana...Hahaha umejujaje...yani nasikitika wadada wengi marafiki zangu wameacha madhehebu yao yale ya zamani - Lutheran, Catholic, Anglican wanakimbilia kwa " mitume" wakaombewe wapate waume. Its funny ila inasikitisha. Juzi mmoja kaja oficini kachoka anadai alikua kwenye mkesha kwa nabii Bushiri alikua anawaombea wapate waume yani duuu. Na wapo wale manabii wa kuambukiza utajiri...nakuambukiza magari, na kuambukiza majumba. nakuambukiza elimu hahahahahah jamani kuna watu Wajinga sijapata ona. Na yeye akiambukizwa anapokea kwa Imani.... Namshukuru Mungu nina Imani dhabiti isiyo tetereka.
You are. You said those preachers are diabolical, I asked you, how do you know that they are diabolical, you have failed to give me a verse to support your refutation. In contrast, you are accusing them and judging them.TanzaniaLaw naomba nikujibu kwa mara ya tatu kwamba sipingani na kifungu chochote ndani ya Biblia bali napingana na mafundisho yatolewayo na hawa manabii na mitume! Tafadhali jaribu kunielewa katika hilo na vema ukaweka interest zako katika hili
I always stand on the Bible, that is my Philosophy, If you don't say what the Bible says, then you are not following the true God.Naona Ishmael unalumbana na watu wako !
Of course they are false prophets and you can test them through the Word, ndio maana namuomba mshana jr anipe aya ili ipime hawa watu. Bado hajanipa aya.ipo ile aya ya tahadhari juu ya manabii wa uwongo, na ile aya ya Yesu anasema litatumika jina lake kudanganya watu. Au m'mezifuta !?
Hapana sijadanganya mtu na sijamlazimisha mtu kuamini lolote haya ni maoni yako! Hii kitu inayoitwa ushamba wa kiroho ndio naisikia kwako lakini hebu nijibu haya maswali machache
1: je Yesu aliruhusu kutoza ujira kwa kumsaidia mtu tatizo lake?
2: Je Yesu baada ya kutenda miujiza alijitangaza na kujisifu?
3: Je Yesu aliishi maisha machafu yaliyojaa starehe ma mambo ya kidunia?
4: Je Yesu alikuwa na kashfa mbali mbali kama walizo nazo manabii na mitume wa leo?
5: Je Yesu alijilimbikizia Mali na kuwaacha maskini wakiteseka?
Nijibu hayo machache tuu! Umejibu bila kutafakari narudia kusema tena SIPINGANI NA Mafundisho ya BIBLIA bali mafundisho ya hawa manabii na mitume wa Leo! Kama huu ndio ushamba wa kiroho basi sipo pekeyangu
Unajua ndani ya makanisa kuna vitu vingi vinafanyika watu huwa hawavijui ila nitawapa sili moja mana kila unayemwona anajiita nabii ana maagano ameyafanya mfano kuna mmoja alipewa shariti la waumini wake wavae nguo zenye rangi moja na wengine wanachale kwenye moyo ni mengi tu yanafanyika ikiwemo kuweka hilizi ya simba wanapokuawepo kama kuna mchungaji au mwanasiasa akiliona jina langu hapo juu atakuwa anajua mi ninaengoea ni nani au ni mtoto wa nani lakini ni ulaji wao na sie wenye hizo kazi ila hakuna nabii atakaye kwenda peponi hata mmoja kati ya mnaowaona
He he hee! Yupo pia mtume Peter Rashid Abubacar... Juzi mmoja kaja oficini kachoka anadai alikua kwenye mkesha kwa nabii Bushiri alikua anawaombea wapate waume yani duuu.
You are still supporting not your claims with verses but empty words.
Yes, it is imperative to quote the infallible verse, unless you are a pagan.mheshimiwa,kwani lazima ku-quote????unadhani maisha kila sehemu lazima tu-quote kama fani yako?kwanini huna heshima kwa sisi ambao maisha yetu sio lazima ku-quote unalazimisha lazima jamaa a-quote?naomba kuanzia sasa utambue uwepo wa watu wanaoweza kuishi na kujenga hoja zao bila ku-quote!
Inawezekana wapo ambao ni manabii wa uongo ila hata kwa hali ya kawaida tu na kwa maelezo dhaifu uliyoyatoa yasiyomtia mtu hatiani siwezi kukubaliana nawe kirahisi hivyo.Njoo na ushahidi ambao utafumbua watu lakini sio maneno matupu ambayo mtu yeyote anaweza akatamka au akaandika ili kumfadhaisha mwingine au imani fulani utake watu tukuelewe,Never.Hata kwa hali ya kawaida tu kama huna utafiti huna haki ya kuongea.Endelea lakini utawapata wepesi wa kufikiri lakini watu wenye kufikiria mambo kwa upana wake huwezi kuwapata kirahisi hivyo.Mara ooh fulani alitamka hivi au vile mbona hajafanya inifanye nikubaliane nawe au ifanye nibadili mtazamo na mwelekeo, Kwani wangapi wametamka na hawajafanya?Hiyo tu ifanye tupoteze imani juu ya kile tunachokiamini.Hapo bado kwakweli shusha utafiti wenye evidence za kutosha.****Wasalimie ndugu zangu wa upareni***.
Hata wanaume pia wapo hata humu jamvini tunao