Yahusu: Majini mahaba...


kuna wengine mimi kwa upande wangu siamini maneno au ushuhuda wao. Na wengi wao kama ukiwasikiza kwa makini ukizingatia ni namna gani walitambua kwamba huyo ndiye lucifer. Huwa hawana uhakika asilimia zote kwamba ni kweli ndiye lucifer.
 
kuna wengine mimi kwa upande wangu siamini maneno au ushuhuda wao. Na wengi wao kama ukiwasikiza kwa makini ukizingatia ni namna gani walitambua kwamba huyo ndiye lucifer. Huwa hawana uhakika asilimia zote kwamba ni kweli ndiye lucifer.

Kuna mchungaji mmoja nasikia eti aliomba sana Mwenyezi Mungu amuoneshe lucifer eye to eye!

basi jamaa baada ya kufunga na kuomba, basi kweli akaoneshwa lucifer kabisa kabisa!!! nasikia eti mchungaji alizimia kwa hofu na kupoteza fahamu kabisa!!

sasa sijaelewa hawa wenzetu wanaoenda huko chini wanaonana na shetani bila woga wenyewe wanakuwa na roho gani?

kwa mujibu wa msimuliaji, anadai kwamba alikutana na viongozi wa siasa maarufu anaowafahamu kabisa na wachungaji maarufu hapa Tanzania. Mkuu, haya mambo ni mazito sana kuyazungumzia katika jicho la kawaida, tunahitaji nguvu ya ziada kupata jibu muafaka!
 
mkuu unakumbuka ile kesi ya Kasinde?

hivi inakuwaje mpaka mtu anaingiliwa kimapenzi na kitu kisichokuwa na mwili?

Bora na wewe umeona, maana mie nililalamika hapa kuwa nimeingiliwa na popobawa watu wakaninanga mbayaa, tena yaweza kuwa alikuwa jini mahaba, ila God for bid asirudi tena au kufanya makazi yake kwangu, (au ndo maana nakuwa sina mpango wa kuolewa)..... mmmhhh!!! :suspicious:😕
 

pole sana mkuu kwa janga lililokukuta, hivi kabla hujalala huwa unasali?

wakubwa wanasema ukishapendwa na haya madude, hamu ya kuwa na mwanaume inapotea kabisa!!!

unakuwa na nuksi inayoletwa na haya mashetani...
 
nikufungulie yenye jina C L?

nipe hiyo assignment sis! it will be my pleasure to do it!

Weito, sio kwamba siwezi kufungua basi tu sina interest na hiyo SN, shukrani kwa msaada wako! Nitatafuta njia nyingine labda niwe natembea na earfone ili muda ukifika nikiwa mahali popote niwe nasikiza! 😛eace:😛eace:
 
Acheni kudanganya watu majini ni roho(spirit) na kwa kawaida roho huwa haifi so majini hawafi na sehemu yao ni kuzimu au motoni huko ndiyo sehemu yao kibiblia majini ni rank ya juu ktk utawala wa shetani yaani shetani-majini-mapepo kwahiyo majini yana nguvu zaidi kuliko mapepo na yanauwezo wa kujibadilisha sura (form0 tofauti na pepo all in all hakuna majini wema wote ni wabaya
 
pimbi wewe, simu yangu natumia unlimited bundle, niko online Facebook na jf 24 hours. grow up.

Basi kama unatumia simu wewe sio level yangu halafu na fb pia upo , ndiyo maana kinywa chako kinatoa maneno machafu bwana mdogo.

Endelea kuvalia suti wedding za wenzako..
 
Weito, sio kwamba siwezi kufungua basi tu sina interest na hiyo SN, shukrani kwa msaada wako! Nitatafuta njia nyingine labda niwe natembea na earfone ili muda ukifika nikiwa mahali popote niwe nasikiza! 😛eace:😛eace:

ok hamna shida sis! kipindi kiko saa nane mchana mpaka saa kumi jioni,

ila sijui itakuwaje kama utakuwa eneo ambalo halina mawasiliano ya redio?

you better get in to see what is out..
 

Huna mpango wa kuolewa! Mmmh sasa itakuaje uwe mpweke dunian?
 
eti inasemekana ukilipata halikuachi tena ngoja siku lijilete anga zangu.. piper

Mkuu usiombe kukutana na haya majitu, tena huwa yanapenda by their own will, not yours!

Kumbuka kama utakuwa na mwanamke, huo utakuwa ndio mwisho wa mahusiano yenu!
 
Mkuu Excel asante kwa topic hii ambayo imeniongezea maswali nitapenda MziziMkavu Pasco au yoyote mwenye kuweza anijibu maswali haya:-

1: Kuna wanaosema majini wanazaa kama binadamu na wengine wanakanusha. lkiwa hawazai ilikuwaje idadi yao ikawa kubwa kuliko ya binadamu? na kama kweli wanazaa inamaana wanakufa je, na wao wanarudi ktk moto kama ilivyo sisi kurudi ktk udongo?

2: Wanaoa na kuolewa na binadamu je, wanatoa talaka baada ya kushindana kama sisi, na wanaonana ktk maumbo ya kibinadamu au kila mmoja na umbo lake?

3: Hawa wanaodai kumwona lucifer/lbiris ktk sura mbaya, ni kweli walimwona sisi wote hatujui lakini ukisoma Bible au koran inasema alikuwa ni mzuri sana kama walivyo malaika, sasa kwanini awatokee ktk sura mbaya wakati wamemtembelea kwa wema, hata kama ana uwezo wa kujibadili?
 
Last edited by a moderator:

Where have you been?
 
Last edited by a moderator:
Nimesha jibu sana hayo maswali hebu wewe tembelea hapa usome mwenyewe bonyeza hapa.[h=1]Topic: Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?[/h]

[h=1]Topic: Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini[/h]
 
nahisi nina hayo madude naota nafanya mapenzi na mtu ninae mjua napiga kelele usingizini mpaka majirani wanaweza kusikia kabla tukio halijatokea nimeshajua hadi now bf wangu ananiogopa maana akichepuka najua nikisema neno mara nyingi hua kweli mafanikio yangu mengi hadi nilazimishe yaani na force kila kitu mahusiano yangu ya mapenzi yamevurugika mno kwa sasa nina hasira zilizopita kiasia naweza hata kumdhuru mtu alieniudhi kama kuna mtaalam ani pm kunisaidia nipo serious maana na cheka sana na kulia sana pia nikiwa na furaha au huzuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…