Yahusu Mabalozi wa kuhamasisha kodi

Yahusu Mabalozi wa kuhamasisha kodi

Nasikia rais ramaphosa wa south Africa amemteua Mohammed dewji kua mshauri wake wamaswala ya uchumi.kwanini sisi tunashindwa kuteua watu wa kada ya mo kuwa wa shauri wetu wa maswala ya uchumi?.
Mo dalali tu sijawahi kuona Gari linasafirisha bidhaa zake
 
Hii nchi kuna kipindi mtu unajiuliza maswali weeeeeeeee unaishia kula ugali wako usiku na mboga za majani unakung'uta miguu unapanda kitandani unalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri ningemwelewa kama wangesema kila mwenye EFD machine aingizwe VAT kwa kila bidhaa inayotakiwa kulipia VAT na yeyote yule anayefanya biashara na serikali lazima awe amesajiriwa na VAT tofauti na ilivyo sasa ambapo mwenye kulipa VAT na asiyelipa VAT wote mnaenda kushindana kazi/ tenda iliyotangazwa na serikali na mwisho wa siku asiyelipa VAT anashinda na anapewa mkataba. Angalia sasaivi unaenda dukani kununua kitu cha laki 5 mwenye duka anakupa rist ya laki 2 na mnunuzi anaona ni sawa tu lakini mnunuzi kama angekuwa amesajiriwa na VAT hawezi kukubali hiyo risti ya laki 2 atakomaa mpaka apewe risti nzima kulingana na pesa aliyotoa, Vilevile serikali ingepunguza kutumia nguvu ya kufuatilia nani katoa risti na ni nani hatoi risti mambo yangejuseti yenyewe.Kwa mtu asiye lipa vat akinunua bidhaa apewe risti asipewe risti anaona yote ni sawa tu kwani hakuna sheria inayombana kuonyesha risti ile, ila mwenye kulipa VAT lazima mwisho wa mwezi ukaonyeshe kwenye returns zake.
 
ccm is a thorn in the flesh of this our beloved country sir, i dont think mwigulu is even qualified to run a village kiosk let alone a countrys finance ministry, safari bado defu sana
Someone said 'sioni tatizo hapo'!!! Seriously..!? Hajaona tatizo!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi kuna kipindi mtu unajiuliza maswali weeeeeeeee unaishia kula ugali wako usiku na mboga za majani unakung'uta miguu unapanda kitandani unalala
Kabisa!! Well said. Unaachia mambo yaende tu
 
Back
Top Bottom