Yahusu kupoteza miamvuli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu

Najitahidi niwezavyo kutosahau mwamvuli wangu nikikaa mahali lakini hujikuta nikishaondoka ndio hukumbuka na nikirudi hamna kitu

Hii ni kama aina fulani ya ugonjwa nakumbuka kila kitu lakini kwa miamvuli noo, mpaka sasa nimeamua tu kutoendelea kununua miamvuli kwakuwa ni kama nawanunulia wengine
INANIUMA SANA
 
Aisee.........hii mvua namna hii mnaishije watu wa Dar es Salaam........?.........
 
Bora mie mwamvuli wangu ni ule wa kwenye mkoba maana mvua ikikata nautia tu mkobani hii mbinu ndio mkombozi wangu baada ya kuwa na tatizo km lako
 
Bora mie mwamvuli wangu ni ule wa kwenye mkoba maana mvua ikikata nautia tu mkobani hii mbinu ndio mkombozi wangu baada ya kuwa na tatizo km lako

Naona itabidi nami nifanye hivyo
 

Hahahaaaa sasa inabidi nikununulie mwamvuli wenye kamba ya kuvaa shingoni....kesho jiandae kuupokeaa kwenye KLM
 
Hahahaaaa sasa inabidi nikununulie mwamvuli wenye kamba ya kuvaa shingoni....kesho jiandae kuupokeaa kwenye KLM

Hahahahaaaa nitakuja na ngoma ya kigodoro
 
Unausahau pale tu mvua inapokuwa umekoma lkn mvua ya kutosha tu hauwezi kuusahau
 
Hahahaaa unaendaga vigodoro? Teh teh

Hahahahaaaa cute b wapi? Bongo salidalama kukiwa na jambo la furaha ni full shangwe full vigodoro hata kusutana Siku hizi ni ngoma kwa kwenda lembe
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa cute b wapi? Bongo salidalama kukiwa na jambo la furaha ni full shangwe full vigodoro hata kusutana Sikh hizi ni ngoma kwa kwenda lembe

Hahahaaaa makubwaaa sisi huku hatujadhoeaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…