Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wadau salaam,
Siku mbili hizi sijapost chochote nilikuwa bize kidogo, mambo yalikuwa mengi.
Wadau, najua humu kuna manguli wa computer; naombeni mnipe maujanja ya kujifunza Ms Excel.
Niingie website gani? Nidownload nini? Nipeni link kwa wenye nazo, au nipeni ushaur nifanyeje ili niweze kuimaster Excel maana inatumika sana kwenye masuala ya kazi zangu.
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app