YAHOO VERIFICATION

lelo1

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
583
479
asalaaam...
Nahitaji msaada wa jinsi ya kuona inbox message ya yahoo yangu, niko na account yake nakumbuka user name na passoword; nikilog in inanambia niverify, tatizo nilichagua email, na hiyo email nimesahau kila kitu, msaada wa haraka nitumie short cut gani kuweza kuona mail.
 
Kwanza niseme pole kwa usumbufu unaoupata!
Hatua za kufuta
1.kipindi unafungua email kuna option ya kusajili recovery email or phone number, hivyo unahitaji kuwa na access ya email hiyo au namba ili uweze kupata verification code
2. Kama unatumia "yahoo mail" android app na umefanya setting inayoitwa yahoo mail app verification unahitaji kuwa na access na hiyo app ili utumie sehemu nyingine tofauti na hiyo mail app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom