Yahoo na notification za Facebook

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Kuna namna ya kuzuia Txt za Facebook zisiingie yahoo ,,,au kwenye Mail adress yako .. Maelezo na step za kufuata ni zip ?
HELP

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ukiingia kwenye hiyo msg ya facebook (kwenye yahoo) china kabisa utaona (edit email settings) click hapo itakupeleka moja kwa moja kwenye page ya fb na kuna ki-popup kidogo kitakuja utaona sehemu imeandikwa (Notify me about) click kwenye link mbele yake (all post) den chagua OFF alafu kwa chini utaona kibox kina tick itoe hiyo tick by clicking it..alafu save changes....
pia unaweza uka turn off all group emails kwa kufuata link iliyoandikwa edit your notifications settings.
samahani kwa maelezo marefuu
kama kuna mdau ambaye ana njia rahisi atakuelekeza tuu
 
Back
Top Bottom