..........To all,
I am very sad to tell you that I've just been fired over the phone by Yahoo's Chairman of the Board. It has been my pleasure to work with all of you and I wish you only the best going forward.
Carol
Sent from my iPad
matatizo ya yahoo yalianzia zamani saana
bora wangewauzia microsoft kipindi kile
matatizo ya yahoo yalianzia zamani saana
bora wangewauzia microsoft kipindi kile
Kwenye corporate world you will be given everything you want, staff, big spending budget, excellent tools of trade ...fat salary...and u r expected to deliver! Its a tight world out there, u mess up the first time ur given a yellow light, a second time, u r fired! No mercy even if u r attending ur sibling's funeral!
Her message alone shows she will pull thru...
Mi nilisikia kajiuzulu
Boss yahoo mbona kuna vitu inawazidi Google na Microsoft.
Webmail service ya yahoo nadhani ina user inteface ( UI) nzuri zaidi kuliko washindani wake. Mi nadhani mapungufu yao zaidi ni kwenye search engine.
LAkini ukiagalia hata alexa ranking hotmail wameachwa mbali na yahoo.
Yahoo wana service amabazo zinapendwa sana sana duniani mfao live sports cast kama ya mechi za ligi za uK, spain, italy. Sasa hivi kuna US open inapatikana Tennis News | Tennis Scores | Tennis Results - Yahoo! Eurosport UK
Microsoft hawana ubunifu wao wanachojua siku hizi ni kununua tu. Na kukunua nunua ni dalili ya kuua ushindani
mkuu mapungufu ya kampuni ndo hayo...
search engine yahoo walikuwa juu hata kabla ya google kuzaliwa
but leo kiko wapi?
Hapo kweli Google wamekuja wakawapiga bao lakini nadhani bao baya zaidi ni na microsoft wamezisha BING yao juzi juzi tayari na wenywe wameshawapiga bao
duh
mpaka bing?
Yahoo is dying a slow death!!
Mkuu, maneno yako ni kweli kabisa.Mtazamaji,
From my own observation I think Yahoo mail accounts are the most hacked around the world. I have got an email registered with them but I hardly use, not that there is a problem with it so far but I just think that the likes of hotmail and gmail do suffice and are rather neat to the eye just to add. My observation is based on the fact that, for every incident I read of someone's email being hacked, the provider of that address has turned to be Yahoo, hence my conclusion. I may completely be wrong, but hey, this is what I think!

Tatizo la Yahoo! ni mapato

kuendesha kampuni ni lazima uwe na mapato, na ni kweli yahoo mail ina users wengi lakini they don't make real money off of it. Ili kuongeza mapato yahoo ilibidi inunue Overture, kampuni iliyoanzisha tekinolojia ya pay per click kwa mara ya kwanza.

Tatizo la overture, kama vile parent company, yahoo, ilikosa strategy (problem number 3). Kwasababu mambo yao yalikuwa yanafanywa manually ilikuwa kama unataka kuweka tangazo lako yahoo ilikubidi usubiri siku tano kabla ya wao ku-aprove tangazo lako na kama ukifanya marekebisho ilibidi usubiri siku tano nyingine ili tanazo lako liwe live. Hii iliwaudhi marketers (the blood life of internet companies) wengi.

Pia overture walikuwa wana ad bidding system mbaya, ilikuwa mwenye kulipa pesa nyingi ndiyo tangazo lake linakuwa juu bila kujali kama linaendana na content ya search result (relevancy) au la. Matokeo yake conversion rate ya ads nyingi ilikuwa ndogo na hii ilifaya marketers wengi kupoteza pesa zao lakini hawakuwa na jinsi kwasababu hakukuwa na system nyingine ya ku-display ads kwa large audience kama yahoo.

Mwaka 2001 google wakatoa adwords system ambayo ilikuwa automated (haikuitaji manual review) pia ilikuwa ni instant display (yaani ukiweka tangazo lako tuu linaonekana hapo hapo bila ya kusubiri). Sasa kwasababu google toka mwanzo msimamao wao ulikuwa ni relevancy hata kwenye adwords system yao walionyesha ads zilizokuwa relavant na search results. Hii ilifanya marketers wengi kuachana na overture ya yahoo na kukimbila adwords ya google kwasababu conversion rate yao ilikuwa nzuri (yaani walipata faida kutangaza biashara zao kutumia google).

Pia google walikuwa na system ya, "you pay as you go", haikutoza marketers hata sent moja ili kuonesha ads zao mpaka pale walipo kuwa wametumia walau $200 wakati yahoo wao walikuwa na prepaid sytem. Kutokana na sababu hizo yahoo ilianza kuporomoka kimapato kwasababu marketers waliokuwa wanaipa $$$ waliwakimbia.

Money is a blood life of any company, no money no business, so yahoo is finished unless they find a new way to print money.
Mtazamaji,
From my own observation I think Yahoo mail accounts are the most hacked around the world. I have got an email registered with them but I hardly use, not that there is a problem with it so far but I just think that the likes of hotmail and gmail do suffice and are rather neat to the eye just to add. My observation is based on the fact that, for every incident I read of someone's email being hacked, the provider of that address has turned to be Yahoo, hence my conclusion. I may completely be wrong, but hey, this is what I think!
Tatizo la Yahoo! ni mapato
kuendesha kampuni ni lazima uwe na mapato, na ni kweli yahoo mail ina users wengi lakini they don't make real money off of it. Ili kuongeza mapato yahoo ilibidi inunue Overture, kampuni iliyoanzisha tekinolojia ya pay per click kwa mara ya kwanza.
Tatizo la overture, kama vile parent company, yahoo, ilikosa strategy (problem number 3). Kwasababu mambo yao yalikuwa yanafanywa manually ilikuwa kama unataka kuweka tangazo lako yahoo ilikubidi usubiri siku tano kabla ya wao ku-aprove tangazo lako na kama ukifanya marekebisho ilibidi usubiri siku tano nyingine ili tanazo lako liwe live. Hii iliwaudhi marketers (the blood life of internet companies) wengi.........

Tatizo yahoo wanawebsite nyingi yani hawawezi kucontroll zote nandhani zitakua zinazaiidi 20 bora wangejipanga kwa mambo machache