Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Last edited by a moderator:
![]()
Jamaa mlevi kapoteza mali zoote na akawa maskini wa kutupwa sababu ya ulevi. Siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia.
Akashika ya kwanza akaipasua akasema: "kwa sababu yako nimeachana na mke wangu", akaipasua!
Ya pili: kwa sababu yako nimeshindwa kusomesha wanangu akapasua!
Ya tatu kwa hasira: "kwa sababu yako nimefukuzwa kazi",
akaipasua!
Ya nne: "kwa sababu yako nimeuza mali zangu zote hadi nimefilisika" akaipasua!
Akachukua ya tano akakuta haijafunguliwa imejaa bia, akasema: "we kaa pembeni, kwanza huu ugomvi haukuhusu,tutaongea baadaye inaelekea huna tabia mbaya kama wenzako!."
Kwema Chimbuvu?
hahhaahahahahahah Always accept yourself as to who you are or where you belong.At the end we will remember not the voice of our enemies, but the silence of our friends.Yani uliondoka na magari matatu ndo umerudi na hili moja tu,madai yako..TAMKO!
Haya bwana
Hehehehehehehehehehheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...aaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiihahhaahahahahahah Always accept yourself as to who you are or where you belong.At the end we will remember not the voice of our enemies, but the silence of our friends.
Ndo madhara ya pombe za mchana haya.