Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,379
Wana Chit Chat
Nawasalimu, habari za kutwa.
Kutokana na maombi ya wana chiti chat wengi kuomba ngoma ya msuto ya MKODOBWE, nimeona ni vyema sasa ngoma hiyo ikarasimishwa hapa chit chat ili kupunguza majungu na umbea kwa baadhi ya watu humu jukwaani.
Jamani kuna mijanadume mimbea kha! Hata sijui wamelishwa kitu gani sijui.
Sasa basi, hapa chini ifuatayo ni timu nzima ya msuto ya MKODOBWE:
Kungwi: Madame B
Manju: cacico
Mpiga zumari: snowhite
Mpiga kigoma cha Kilugwai: Kipipi
Mpiga Mbeta: charminglady
Mpiga nyanga: Ciello
Mpiga chapuo: lara 1
Mpiga filimbi: Preta
Wa kuchagiza: sweetlady
Kwa upande wa vigelegele watakuwepo hawa wafuatao: Asnam, Nyamayao, gfsonwin, @FP, Remmy, Smile, marejesho, MadameX, FirstLady 1 na shogangu Lisa
Natoa tahadhari kwa hawa wafuatao maana mienendo yao sio mizuri hapa Chit chat kwa kuchapa umbea na wajiangalie goma la MKODOBWE lisije kuwaangukia
Yo Yo, manoah, platozoom, na Baba V
Nicas Mtei atakuwa kwenye kitengo cha usafiri akishirikiana na @C6
Sitaki Maswali
ALAMSIKI.

Last edited by a moderator: