Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Wana Chit Chat
Nawasalimu, habari za kutwa.

Kutokana na maombi ya wana chiti chat wengi kuomba ngoma ya msuto ya MKODOBWE, nimeona ni vyema sasa ngoma hiyo ikarasimishwa hapa chit chat ili kupunguza majungu na umbea kwa baadhi ya watu humu jukwaani.

Jamani kuna mijanadume mimbea kha! Hata sijui wamelishwa kitu gani sijui.

Sasa basi, hapa chini ifuatayo ni timu nzima ya msuto ya MKODOBWE:

Kungwi: Madame B
Manju: cacico
Mpiga zumari: snowhite
Mpiga kigoma cha Kilugwai: Kipipi
Mpiga Mbeta: charminglady
Mpiga nyanga: Ciello
Mpiga chapuo: lara 1
Mpiga filimbi: Preta
Wa kuchagiza: sweetlady

Kwa upande wa vigelegele watakuwepo hawa wafuatao: Asnam, Nyamayao, gfsonwin, @FP, Remmy, Smile, marejesho, MadameX, FirstLady 1 na shogangu Lisa

Natoa tahadhari kwa hawa wafuatao maana mienendo yao sio mizuri hapa Chit chat kwa kuchapa umbea na wajiangalie goma la MKODOBWE lisije kuwaangukia
Yo Yo, manoah, platozoom, na Baba V
Nicas Mtei atakuwa kwenye kitengo cha usafiri akishirikiana na @C6

Sitaki Maswali

ALAMSIKI.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wanaume wanaopenda kujiunga na kikundi hiki watume maombi yao kwa snowhite mie wani CC tu
 
Last edited by a moderator:
Na pia wanawake ambao wako interested wanaweza kujiuga kwa kuwasiliana na Madame B, mie wani copy tu
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wanaume wanaopenda kujiunga na kikundi hiki watume maombi yao kwa snowhite mie wani CC tu

tena waambie waweke kabisa na uzoefu wao
kuwa walishawahi kusuta watu wangap!
wana kamusi ya mishushuo kiasi gani?
waseme kabisa!bila hivo wala sitahangaika kukuCC manake ntakuwa nishajua kuwa hawana vigezo!
 
Shoga me nataka nianze na huyo manoah,
amezidi kunifatilia kwenye ndoa yangu.
Kama ananitaka si aweke wazi?

Yani nataka mwaka huu ukiisha tuwe tuweshawasuta mijanaume yooote mimbea ya humu CC.
Watanunaje sasa!
 
Last edited by a moderator:
hahahah hii kali....mie nadhani tuanze na eliah kwani anapita humu jukwaani akinichafua eti nilimhonga lundenga....wakati miye sina cha kuhonga...cherry Zinduna anawasilisha wazo...
 
Pia tunataka sifa ya kwanza wajue KUJISHETUA, maana msuto mtamu huambatana na kujishetua bibi
 
hahahahah mchane mchane....mamito njoo PM nikunongo'neze jambo...
Shoga me nataka nianze na huyo manoah,
amezidi kunifatilia kwenye ndoa yangu.
Kama ananitaka si aweke wazi?

Yani nataka mwaka huu ukiisha tuwe tuweshawasuta mijanaume yooote mimbea ya humu CC.
Watanunaje sasa!
 
hahahah hii kali....mie nadhani tuanze na eliah kwani anapita humu jukwaani akinichafua eti nilimhonga lundenga....wakati miye sina cha kuhonga...cherry Zinduna anawasilisha wazo...

Tena huyo Eliah nilisahau kumtaja, sijui ni mwanga, heee, yaani mie binti Zimkaya nikamsahau huyu Baradhuli!
Naye lazima awemo huyo
 
Na pia wanawake ambao wako interested wanaweza kujiuga kwa kuwasiliana na Madame B, mie wani copy tu

Waambie waambie hao wanaume wanaopenda mbunye za dezo.
Starehe gharama jamani.
Nigharamie ili nikufikirie,msipende vya dezo.
Mtakufa nyie wanaume.

Haya wanawake njooni nafasi ziko wazi.
 
Last edited by a moderator:
Shoga me nataka nianze na huyo manoah,
amezidi kunifatilia kwenye ndoa yangu.
Kama ananitaka si aweke wazi?

Yani nataka mwaka huu ukiisha tuwe tuweshawasuta mijanaume yooote mimbea ya humu CC.
Watanunaje sasa!

wewe nawe ndimu kweli, akutake nani sura yenyewe hiyo nitonye mrembo,yaani ukipishana na mwanaume njiani basi kakutaka
 
Last edited by a moderator:
Hebu Madame B endeleza mkodobwe mie nenda kutabawali kwanza
 
Last edited by a moderator:
hahahahah mchane mchane....mamito njoo PM nikunongo'neze jambo...

Ndo nawachana hapa.
Wanajifanya wamesinzia,kumbe sikio moja liko wazi kama lango la Polisi.
Baba V yuko hewani jamani,
Tumtume akawaamshe wenzake. Wasijitie wamelala hapa,leo ni mnyambo mpaka lyamba.
Ione mijuso yao.

Shoga naja PM,Si unajua umbea mtamu?
 
Last edited by a moderator:
mh! Mungu atusaidie! sasa sijui na sie tuanzishe kikundi cha wakaka wasiofungamana na upande wowote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom