Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,306
- 11,165
Mchambuzi wa masuala ya kivita Bing West, ambaye ni mstaafu wa Pentagon na chuo cha kijeshi ametoa sababu kwanini Marekani imeshindwa vibaya kwenye vita vyake vitatu katika kipindi cha miaka 50 kwenye nchi za Vietnam, Iraq na Afghanistan.
Pamoja na hivyo pia ametoa utabiri kwa uoni wake kwanini nchi hiyo haina tena uwezo wa kushinda vita vyovyote vingine vitakavyofuatia.
Katika kitabu chake alichokiita “Three Wars, No Victory — Why?” kilichotoka mwezi Februari mwaka huu, Bing amebainisha sababu tatu kama chanzo cha kushindwa kwa Marekani katika vita hivyo.
Mosi ni makosa ya wapanga sera, makosa ya wapiganaji wa kijeshi na tatu ni watu wa nchi hizo kuja juu kupinga vita hivyo. Lakini katika yote hayo suala la sera ameeleza ndilo kosa kuu linalopelekea kushindwa kwa Marekani na mataifa madogo inayopigana nayo.