Yaani mzee ame dead kama masihara, wanawake makatili!

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Daaah leo nimesikia habari mbaya mno, kuna mzee marehemu kabla ya kufariki aliongeza mke wa 3. Huyu mke alikuwa ni binti tu wa miaka 23. Kwa mujibu wa huyu binti, anasema siku moja usiku alishtuka usingizini na kukuta mzee anafosi kuingiza uume kwenye tigo.

Binti anasema alimsukuma, kwa kuwa mzee hakutegemea, akaanguka kutoka kitandani mpaka chini, akaangukia kichwa. Alifariki!

Binti aliua mumewe.

Haya alisimulia huyu binti kwenye group moja la mikasa Mara baada ya kutoka jela kwa msamaha wa Rais.

Mpaka leo hakuna anayejua siri hii isipokuwa yeye mwenyewe, na wale aliowasimulia mkasa wake.

Wanawake wauaji!!!!
 
Aliruka stage mzee, kuna mambo unatakiwa kabla haujazeeka uyapitie ili mwili ukichoka utulie na wazee wenzio, unakuta mtu anasoma weeee anapata kazi anaoa akifika kuanzia 40-45 yrs anaanza kurudi kwa wanafunzi wa miaka 18 anajikuta anakuwa mtumwa wa mapenzi
 
Ni kweli aisee, hata mimi ni lazima niwatafune.
 
Nmefkria nmeona sio sahih kuhukum upande mmoja, hv ungekuwa ww ndo huyo bint ungekubal uingzwe mashine kunako tgo?
mwanamke kafanya hlo tukio akpambania utu wake ma sio vngnevo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…