Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,361
- 91,912
Humwamini Mungu ila unamwamini shetani. Yaan una imani Mungu hayupo ila shetani yupo, hilohilo jitu lisilo na shukrani ya kuachwa hai mpaka kupata nafasi ya kujitutumua hivyo ndiyo hilohilo kutwa kwa waganga na kulalamikia uchawi.
Shetani na maagenti wake unawatumikia ila umeshindwa kwa anayekunusuru na mengi mabaya mpaka leo.
Aisee, pesa isiwape kiburi, mtakufa vibaya sana nawaambia mwisho muache vizazi vyenu vikipata shida duniani pasipo uwepo wenu.
Kuweni watiifu katika Bwana! Please!