Wanaume hawataki kuoa sio?
[URL]https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/530673-wanawake-kuishinikiza-serikali-iwasaidie-waolewe.html[/URL]
Hao waliofunga ndoa nao ilikuwaje kabla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........
Ndio maana Malkia wangu kila siku nazidi kukupenda tu, maana una hekima sana. Hili swali zuri sana.Hao waliofunga ndoa nao ilikuwaje kabla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........
Ndio maana Malkia wangu kila siku nazidi kukupenda tu, maana una hekima sana. Hili swali zuri sana.
Hao waliofunga ndoa nao ilikuwaje kabla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........
Heaven On Earth kwani hii si kama zile katuni za kina Kipanya tu? hata hapo katikati kuna waliofunga ndoa pia. Just enjoy life.