Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Hahahaha wamachinga wa ubungo balaa yaani baada ya magufuli kuwapiga biti na kuwataka waondoke wenyewe ndio wameamua,wafute kbs maneno ambayo yapo kwenye bango linalowataka waondoke nakubakiza neno kinondoni tu!!!