Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Poleni wafiwa. Hivi hatuwezi kulifikisha kwa Ocampo hili?
 
Nchi zilizostaarabika zikisema polisi wana taarifa za kiintelijensia huwa wanawashughulukia hao wanaosemekana kupanga mipango ya ghasia, lakini hawazuii maandamano ya amani. Hapa kwetu imekuwa kisingizio cha ubeberu wa polisi na wa kikwete. Kikwete atatambua lini kwamba mabavu ya dola hayamalizi matatizo bali huzidisha munkari wa watu wanaoonewa
 
Nadhani si busara kufurahikia vifo vya watanzania wenzetu (kwani kuna mtu baba yake au mama yake au ndugu yake amefariki) hivyo basi anapofariki sio msiba wa kuondokewa na mtu bali pia kuna mtu watu wanamtegemea na hivyo basi ni msiba pia wa kimaisha. Mie sikubaliani na hilo na Chadema kama wanavyosema CUF kuwa watu wa vurugu na wao pia wanapaswa kulaaniwa kwa kuwadumbukiza wananchi katika vurugu zisizo za lazima. Vile vile polisi wwasingelitakiwa kutumia nguvu bali ni ustaarabu na hekima na busara zingelitumika kucontain hayo maandamano.

Hata pale mwembechai kuna watoto wa wazazi fulani waliuiawa, na kuna watanzania wengi sana walifurahia kitendo kile.

Kanzu mpya lakini sheikh yule yule
 
Hata pale mwembechai kuna watoto wa wazazi fulani waliuiawa, na kuna watanzania wengi sana walifurahia kitendo kile.

Kanzu mpya lakini sheikh yule yule

Nafahamu hilo Nancy but two wrongs does not make one right na sio lazima wao wakiwacheka wengine walioumia pale mwembechai na nyie mfurahie kwani hakuna mtu anafurahia ndugu yake akiuwawa. La msingi ni kwamba waambiwe kuwa next wakiuwawa waislamu msifurahie kwani sote ni watanzania. Sasa kama leo wameuawa watu wa upande mwengine sio sote tusikitike kwani ni sawa tu na wale waliouwawa mwembechai. La msingi ni kulaani hivi vitendo vya kutumia nguvu kwani maandamano ya amani hayana tatizo ni part of a democratic state na ndio demokrasia.
 
"Nipigeni niueni nitakufa kwa ajili ya kutetea wananchi wengi walio maskini na wanyonge. Kama nchi imefikia hivi hali si nzuri …mnanipiga kiasi hiki wakati nimeshaawambia nina ujauzito … hakuna neno damu mliyoimwaga haitaenda bure lazima matunda yake yatapatikana, kwani wananchi watapata haki zao. Hata huyo dereva mnayemtoa sadaka damu yake haitaenda bure," Haya ni maneno ya Josephine wakati alipokuwa amesimama huku damu zikimchuruzika kutoka kichwani na kusambaa mwilini.
Maneno haya ni makali sana na yanatia simanzi. Hayatapotea bure ipo siku yataleta matunda yanayotegemewa (Democrasia na usawa).
 
Mwisho wa udhalimu umewadia -wajue sasa ni mwanzo wa ukombozi -slaa, mbowe, chadema na watanzania tutaikomboa nchi
 
Tanzanian police kill two rioters, seize opposition chiefs

Thu Jan 6, 2011

By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters)

Police have shot dead two anti-government protesters in Tanzania and arrested at least 10 leading opposition figures during a violent demonstration, a senior police official said on Thursday.
1. This was NOT aviolent demonstration but a "peaceful demonstration" by unarmed civilians.
2. Why quote a police officer ...... he's not a credible source of information !


Two people died ... after being shot by the police while trying to forcefully invade a police station to free their colleagues who were arrested by the police," Arusha Regional Police Commander Thobias Andengenye told Reuters.

Again Fumbuka unatuangusha, You keep quoting the police officers who actually unleashed their "dogs" on unarmed civilians. Did you expect them to own up and say .. yes , you know, we wanted to teach these unruly Tanzanians a lesson because we have been so instructed by kikwekte and that zanzibari guy, (minister of internal affairs).
 
“Nipigeni niueni nitakufa kwa ajili ya kutetea wananchi wengi walio maskini na wanyonge. Kama nchi imefikia hivi hali si nzuri …mnanipiga kiasi hiki wakati nimeshaawambia nina ujauzito … hakuna neno damu mliyoimwaga haitaenda bure lazima matunda yake yatapatikana, kwani wananchi watapata haki zao. Hata huyo dereva mnayemtoa sadaka damu yake haitaenda bure,” Haya ni maneno ya Josephine wakati alipokuwa amesimama huku damu zikimchuruzika kutoka kichwani na kusambaa mwilini.
Maneno haya ni makali sana na yanatia simanzi. Hayatapotea bure ipo siku yataleta matunda yanayotegemewa (Democrasia na usawa).
shame on youuu ccm......
 
Chanzo cha matatizo yote hayo ni uhuni uliofanywa na madiwani wa CCM manispaa ya Arusha katika uchaguzi wa Meya ktk manispaa hiyo. Adhabu yao ni kif..
 
Vyombo zaidi vya habari vya kimataifa vinaendelea kuifahamisha dunia kuhusu mauwaji ya Arusha...

'Two dead' in Tanzania opposition march

(AFP) – 1 hour ago

ARUSHA, Tanzania - Tanzanian police on Thursday said two people were killed and nine others injured in the northern town of Arusha after a march was dispersed and an opposition leader arrested.

"Two people who suffered gunshot wounds died after being taken to hospital," Tobias Andengenye, police chief for the Arusha region, told a news conference.

"Nine people are injured, including three police officers," he said.

Several thousand supporters of the Chadema party had gathered Wednesday in Arusha town centre to protest what they say is the fraudulent re-election of President Jakaya Kikwete at the end of October.

Several party officials, including the chairman and the secretary general, were taken in by police who then fired to disperse demonstrators trying to march on police headquarters.

The provincial police chief confirmed that 49 Chadema members were arrested, including its chairman Freeman Mbowe and its secretary general Wilbrod Slaa, an anti-graft campaigner who ran in the October presidential election.
 
Ripoti ya Bloomberg news agency hiyo....

Tanzanian Police Arrest Opposition Party Chairman, Daily Says

By Wilfred Mwakalosi - Jan 6, 2011

Tanzanian police arrested the chairman and other leaders of the opposition Chadema party after they took part in a banned protest in the northern city of Arusha, the Daily News reported.

Freedom Mbowe, the party's chairman, and Secretary-General Wilbrod Slaa had been scheduled to address a rally in the city, about 600 kilometers (373 miles) north of Dar es Salaam, the commercial capital, the newspaper said. Police fired teargas at the demonstrators and parts of the city were in a "state of unrest," it said, citing an unidentified resident.

The newspaper didn't say what the protest was about or why it was banned.

To contact the reporter on this story: Wilfred Mwakalosi in Dar es Salaam via Johannesburg at pmrichardson@bloomberg.net.

To contact the editor responsible for this story: Antony Sguazzin in Johannesburg at asguazzin@bloomberg.net.
 
ARUSHA, Tanzania — Tanzanian police on Thursday said two people were killed and nine others injured in the northern town of Arusha after a march was dispersed and an opposition leader arrested.

"Two people who suffered gunshot wounds died after being taken to hospital," Tobias Andengenye, police chief for the Arusha region, told a news conference.

"Nine people are injured, including three police officers," he said.

Several thousand supporters of the Chadema party had gathered Wednesday in Arusha town centre to protest what they say is the fraudulent re-election of President Jakaya Kikwete at the end of October.
Several party officials, including the chairman and the secretary general, were taken in by police who then fired to disperse demonstrators trying to march on police headquarters.

The provincial police chief confirmed that 49 Chadema members were arrested, including its chairman Freeman Mbowe and its secretary general Wilbrod Slaa, an anti-graft campaigner who ran in the October presidential election.
 
Hivi ni watu 2; 6 au Kumi ambao wamepoteza maisha sababu kuna three difference news from three respectable sources..
 
Haki inapaytikana kwa kumwaga damu!!!
Znz walimwaga damu wakapata katiba mpya!!!
Kenya na sehemu zingine
kikwete apime damu hiyo iliyo mwagika !!!
Je ana ujasili wa kwenda kwenye mazishi????
Ccm watashiriki mazishi???
Serikali itawakilishwa na nani ???
 
Kuna mtu alisema kikwete sio rais bali dikteta sasa naanza kuamini hayo maneno
 
BBC nao waibuka...

Tanzania police kill two in Arusha at Chadema protest

Tanzanian officers have shot dead two people during an anti-government protest in Arusha, police say.

Nine people were injured, including three police officers, the city's police chief Tobias Andengenye said.

The unrest started after the chairman of opposition party Chadema, Freeman Mbowe, was detained, ahead of a rally against government corruption.

Police fired tear gas to disperse the crowd of several thousand people, who demanded Mr Mbowe's release.

Mr Andengenye said 49 Chadema officials were also arrested in total in the northern city.

"They overstepped the authorisation we gave them," AFP news agency quotes the police chief as saying.

"They tried to invade police headquarters to free the people who had just been arrested."

Three senior opposition leaders, including Mr Mbowe and Chadema's secretary general and presidential candidate in elections last year, Willibrod Slaa, are to appear in court on Thursday, the party's spokesman told the BBC.

President Jakaya Kikwete of the CCM was returned to office in November with more than 61% of the vote.

The country boasts East Africa's second-biggest economy, although more than 50% of Tanzanians still live below the poverty line.

BBC News - Tanzania police kill two in Arusha at Chadema protest
 
Back
Top Bottom