Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,646
- 2,911
mwanza walifunga barabara zote kuanzia SAA 10 mpaka 12yaan haijawai kutokea in kero kubwa sana wahusika waliangalie, tena wanafunga barabara hata ambazo hazipiti msafara
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We huongo wako umevuka boda wakimataifa
Kwanini mnapinga wanavyotaka kuhamia Dodoma.?
Give solutions. Don't just complain.Watanzania,tangu zamani,tunawapenda na kuwaheshimu viongozi wetu wa kitaifa hadi wale wa mitaa. Viongozi wetu tunawalinda kwa kila mmoja wetu na namna yake.
Viongozi wakuu watatu wa kitaifa: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa na misafara maalum wanapokwenda mahali fulani. Ingawa misafara ya sasa haina gari la wagonjwa na imepunguziwa idadi ya magari,kuna jambo linakera.
Watumiaji wengine husimamishwa kwa kati ya dakika 30 hadi 70 wakisubiri msafara upite. Foleni hutamalaki haswa. Inafikia wakati,madereva hutoka kwenye magari yao na abiria huamua kutembea kwa miguu. Misafara ya awamu hii inakuwa kero. Kuna mambo ya kurekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Huyu Pombe hasomi katiba wala hutuba alizoandikiwa, yeye kwake katiba ni lile analowaza yeye. Yaani Zali la Mentali. Hivyo ndugai asipokubaliana naye watamfanyia maarifa, li ccm haliishiwi maarifa ya udhalimu, si unakumbuka Sita walimwambia ukitaka uspika njoo na K, tukukague kama kweli unayo k badala ya nzakali!!Job atamwambia arudi magogoni akakae apitie katiba vizuri ndio arudi..
Wewe binti una mambo sana.Yuko UD.. Ngoja niongee na Prof Lwekaza.
kwa hiyo watu wawe waoga hata kama wanaonewa?Ohooo hukumsikia tundu lissu nini, alisema hakuna anaependa kwenda mahabusu sio pazuri
Watanzania,tangu zamani,tunawapenda na kuwaheshimu viongozi wetu wa kitaifa hadi wale wa mitaa. Viongozi wetu tunawalinda kwa kila mmoja wetu na namna yake.
Viongozi wakuu watatu wa kitaifa: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa na misafara maalum wanapokwenda mahali fulani. Ingawa misafara ya sasa haina gari la wagonjwa na imepunguziwa idadi ya magari,kuna jambo linakera.
Watumiaji wengine husimamishwa kwa kati ya dakika 30 hadi 70 wakisubiri msafara upite. Foleni hutamalaki haswa. Inafikia wakati,madereva hutoka kwenye magari yao na abiria huamua kutembea kwa miguu. Misafara ya awamu hii inakuwa kero. Kuna mambo ya kurekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mfalme.....
Kawaambia nani watakaa Dodoma hao, watakuwa wanashinda Dar kulala ndio KongwaSisi "wanaume wa Dar" ndio tunaombwa tuwe wavumilivu maana "taabu" hizo zitakoma mara! Hao wa Dodoma wajiandae kuishi maisha tuliyokuwa tukiishi kwa muda mrefu. Kwani wao si binadamu kama sisi? Wacha nao wauonje ubinadamu wa kuwa raia wa nchi yetu hii.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji87][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji86]
[emoji126][emoji126][emoji126]
Mzee wa lumumba bora nyie mnasimamishwa dk30 mpaka70 sie mwanza hapa siku mzee anawasili tulisimamishwa zaidi ya masaa matatu.Watanzania,tangu zamani,tunawapenda na kuwaheshimu viongozi wetu wa kitaifa hadi wale wa mitaa. Viongozi wetu tunawalinda kwa kila mmoja wetu na namna yake.
Viongozi wakuu watatu wa kitaifa: Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa na misafara maalum wanapokwenda mahali fulani. Ingawa misafara ya sasa haina gari la wagonjwa na imepunguziwa idadi ya magari,kuna jambo linakera.
Watumiaji wengine husimamishwa kwa kati ya dakika 30 hadi 70 wakisubiri msafara upite. Foleni hutamalaki haswa. Inafikia wakati,madereva hutoka kwenye magari yao na abiria huamua kutembea kwa miguu. Misafara ya awamu hii inakuwa kero. Kuna mambo ya kurekebisha!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hapo umesema kweli zilikua siku mbili za mateso barabarani kwa wana mwanzaUle upuuzi uliofanyika hapa Mwanza siku JPM alipohutubia Furahisha ulinifanya nichukie tukio zima la ujio wa Rais Mwanza. Ilikuwa ni kero ambayo ilizidi hata ile iliyowahi kutangulia. Barabara Mwanza ni chache sana, halafu wakazifunga karibia zote tena kwa masaa mengi. Shida ya Mwanza, hakuna barabara isiyounganika na ile iendayo airport. Kwa hiyo kiongozi akija tu Mwanza ni kero karibia kwa kila mwananchi, labda kwa wale tu ambao huwa hawana kazi yoyote ya kufanya.
Ni muhimu kufikiria uwezekano wa viongozi wakuu wa kitaifa wakifika Mwanza, watumie chopa ili kutuondolea mateso na usumbufu.
Nimeshangaa kusikia niliyemdhania ni dume kuwa ni bint.Nifah mbona unashangaa?
Now,you know a true factNimeshangaa kusikia niliyemdhania ni dume kuwa ni bint.
Duh poleni sana! Dk 50 kwenye foleni kisa mnene anapita?!Dah, leo nimekaa kwa foleni zaidi ya dakika 50, sijui nani alikuwa anapita, ila alikuwa anaelekea Bagamoyo bila shaka.