Ya moyoni: Msafara wa awamu hii 'unakera'!

Waondoke kwenda Dodoma. Hii kero sana.
 
lol..juzi wakati wanakwenda kuchagua dodoma..tulisimamishwa mbande masaa mawili kwa ajili ya msafara wa kwanza ...kufika njia panda kiteto tulisimamishwa tena masaa takribani mawili kwa ajili ya mwingine...watoto walinyongonyea kweli wakwa wanalia njaa...nadhani kuna haja ya waratibu wa misafara waipange vema waongozaane karibu karibu ..hata kama kupishana kama wanatoka dar kwenda mikoani wasipishane sana..
 
Wewe kichwa maji wa Bawacha ni lini uliona magari hayasimamishwi kupisha misafara ya viongozi hao?
 
Kwani wewe upo wapi na hiyo misafara imetokea wapi? Kwa kawaida kusubiri msafara ni jambo la kawaida popote ulimwenguni
Yuko UD.. Ngoja niongee na Prof Lwekaza.
 
mfalme.....
 
tupatupa serikali hii haitakuwa ya michakato ndio maana
 
Yuko UD.. Ngoja niongee na Prof Lwekaza.
Sijui kama mtoa mada ana nia mbaya, ila kwa kweli hili jambo watu wa usalama wangeliangalia na kulitafutia ufumbuzi. Hapa mwanza barabara zilifungwa mapema mno siku alipokuja furahisha. Yaani kuanzia SAA tisa jioni hadi usiku ilikuwa shida kweli. Raisi anakuja kukagua shughuli za maendeleo huku akikwamisha shughuli za maendeleo, hii haijakaa sawa.
 
Kwa hiyo ulitakaje? ulikuwa na ushahuri gani nini kifanyike?​
Sio popote ulimwenguni mkuu.Kuna nchi mfano South Africa misafara huwa inakuwa aidha pembeni ya high way/yellow line ama inapita barabara ya juu huku wengine wakipita barabara za chini.
 
Ili nao waanze kuitwa wanaume wa Dom?
 
Kisingizio utasikia matamko yake na utumbuaji vimemsababishia maadui wengi
We huongo wako umevuka boda wakimataifa

Wewe kichwa maji wa Bawacha ni lini uliona magari hayasimamishwi kupisha misafara ya viongozi hao?

Waulizeni wa Mwz hawana hamu
 
Ili nao waanze kuitwa wanaume wa Dom?
Thomaso kwa ili wakihamia Dom itakuwa kama nanenane ilivyo ikiisha Dom chalii we fikiria tamisemi ilikuwa Dom lakini nenda kama ungemkuta katibu mkuu au waziri daily wanapaa hatari sana
 
Huko Dodoma ndio hakuna watu? (Japo sio wengi sana)
Unafikiri yanayofanyika huku huko hayatafanyika?
Kamanda vipi aiseee...
Huko Dodoma ni Ngome yao
Kila anayewaona anawasujudia na kuwaimbia Mapambio so watu wa Dom haitakuwa Bughudha kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…