Ya moto bendi

Ya moto bendi

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,072
Reaction score
1,867
Hili kundi linazidi kunifurahisha na jinsi linavyoachia ngoma baada ya ngoma, leo nimesikia wimbo wao ila jina siujui wanaimba "ni..ni..niue mahaba niue", naomba mnipe link niweze kupakua.
 
Ni shidaaaaaa wanajuaa ila waimarishe video zao
 
Litakufa siku si nyingi kama kawaida ya makundi ya bongo maana mashujaa washaanza chochoko za kutaka kulibomoa kwa kumchukua maroposo yule alieimba verse ya
'ale baba huyo.....
katoka kazin zawadi mkononi.....
kaleta na ungo.......
tusipate tabu ya kupeta mchele...
 
Litakufa siku si nyingi kama kawaida ya makundi ya bongo maana mashujaa washaanza chochoko za kutaka kulibomoa kwa kumchukua maroposo yule alieimba verse ya
'ale baba huyo.....
katoka kazin zawadi mkononi.....
kaleta na ungo.......
tusipate tabu ya kupeta mchele...

na akina Dinazarde wameshaanza kuwabemenda watoto wale lazma liende na maji.
 
Last edited by a moderator:
Kuachia Ngoma kwa mfululizo kutawafannya wafulie mda si mrefu.

Maana hujatokwa na hamu ya Wimbo fulan mwingine unakuja. Kina matonya walikuwa hivyo hawakupata mda hatuwasikii sasa hivi
 
wimbo unaitwa nikupetipeti sio mpya kama unavyofikiria utakuwa hauko karibu na media ndugu yangu
 
watulie waache tamaa hao vijana, wakishaanza tamaa tu wataishia kuwa kama kina blaise bula wa wenge.
 
leo wapo Mawenzi Garden tabata.....mke wangu utansamee tu kwa leo
 
nimeusikiliza tena lakini sauti sizielewi,naona kama kaimba mtu mmoja! halafu yule mwenye sauti kubwa hajaimba
 
Kiukwel Yamoto Bandi ndo habari ya bongo ukubali-ukatae,wako safi kila idara.Lakn nmesikitishwa/nlisikitishwa kwa dancer wao wa kike(anacheza amevaa kofia ktk wimbo wa NITAJUTA),kiukwel dada huyu anauwezo mkubwa sana tena sana ktk kucheza,anajua kucheza sana lakn hajatendewa haki na camera kwani amefichwa sana yaan haonekan kwa karbu pia anaonekana mara chache sana,wakt kiukwel anajua kucheza.Big up Mkubwa na wanawe MMETISHA sana!
 
hawa vijana wako vizuri..

afu kuna bendi mpya inaitwa temamate bend na Tamu band mahasimu wa ya moto bend.
 
Mkuu inawezekana wewe ndio huyo dada.Nakushauri ukitaka kujulikana dunia nzima na upate umaarufu panda bodaboda uchi kisha iendeshe mpaka kariakoo

Kama huna cha kuchangia sio lazima uchangie,jitambue basi!
 
Mkuu inawezekana wewe ndio huyo dada.Nakushauri ukitaka kujulikana dunia nzima na upate umaarufu panda bodaboda uchi kisha iendeshe mpaka kariakoo

jet, lumo, reli, kijiwe sam, bomobomu chadema na machimbo.
 
hako kabinti nimetafuta namba yake ya simu sijafanikiwa...
 
Abnosignathus,tabia yako ya kishoga na sms yako inanuka na ni dhahil unatoa hewa chafu kulngana na tundu lako kutanuka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom