Ya Manumba Ni Zaidi Ya Malaria!

Ya Manumba Ni Zaidi Ya Malaria!

Habari zinazozunguka kichinichini Magogoni na Central ni kuwa kuugua kwa ghafla kwa Manumba kuna ukaribu mkubwa na masuala aidha ya madawa ya kulevya, meno ya tembo/vifaru au Ulimboka. Nyepesi zinasema kuwa kabla hajaugua ghafla (Malaria ya siku mbili hadi ICU), alipitia baadhi ya taarifa zinazogusa upelelezi wa siri (status updates) wa masuala hayo.

Inasemekana kuwa mmoja wa vijana wake kikazi naye ana wasi wasi maana alim-feed Mzee updates fulani fulani.

Niliulizwa nishawahi kuona malaria ikampelekeka mtu ICU Aga Khan halafu haelekei kutoka?

Napotelea kwetu kiungani, mjini hatari.

Kama anaweza kuadhibiwa kutokana na mateso aliyoyapata Dr. Ulimboka, basi mimi nasema Bwana Yesu asifiwe.
 
Hivi mkubwa yeyote akiugua au akifa kwanini watu wanahusisha na hujuma? kwani hawa watu hawatakiwi kufa au kuugua!

we ushawahi lini kuona mtu anaugua malaria kali ndani ya siku mbili inampeleka ICU?Ukitaka kusoma michezo ya hawa jamaa angalia coicidences,ukiona chain of events with a certain common....niishie hapa nisije kupata MALARIA KALI NA VIUNGO KUDHOOFU!
 
nakumbuka majungu yaliyotokea baada ya kamanda barlow kupigwa risasi.
1. Mapenzi,-ameiba dem wa mtu
2. Visasi-kala hela za watu lakini kawatosa hajawatetea
3. Uwezekano wa yeye kuchaguliwa kuwa ijp-kwani ni mchapakazi, anakubalika
4. Ameingia mkononi mwa wanyan'ganyi-majambazi. Ya mwisho ndo ilithibitika. Hivyo na manumba watasema mengi tu

Inategemeana hii ya mwisho ilidhibitishwa na nani, ina maana katika kazi yake tangu akiwa Private mpaka RPC ndio ilikuwa mara ya kwanza kuingia mikononi/ shughuli za majambazi ?
 
Malaria inampeleka mtu ICU,hasa kinga yake ya mwili ikiwa inamalizikia"
 
Back
Top Bottom