kwa hali ya chalinze ilivyo na hasa vijiji vingi vina nyumba za nyasi ccm itashinda maana mtaji wao umehamia kwa watu wasiojua nini maana ya maendeleo
YUP! Na ukitilia maanani mwaka 2010 ilizoa asilimia karibia 90 ya kura ......
kwa hali ya chalinze ilivyo na hasa vijiji vingi vina nyumba za nyasi ccm itashinda maana mtaji wao umehamia kwa watu wasiojua nini maana ya maendeleo
Si vibaya kufanya hivyo ila tumia resources zako mwenyewe na sio za umma!
Hata chopa zinalipiwa pesa za walipa kodi (umma) na si kwa viingilio vya billicanasSi vibaya kufanya hivyo ila tumia resources zako mwenyewe na sio za umma!
Toa ushahid km ametumia za umma.
Hata chopa zinalipiwa pesa za walipa kodi (umma) na si kwa viingilio vya billicanas
Jamaa walitaka mama yake amtenge...Alikuja kama mama yake
Mkuu Safari_ni_Safari, nimcheka sana kwa tangazo hili!!!!! lla kimpangilio makosa kibao!!!! Mtiririko!!! Uchungu wa mwana aujua mzazi. Kweli mama Salma alijitoa sana kulelea Ridhiwan na dadake wakiwa wadogo tangu walipoondokewa na mama yao (R.I.P).
Kwenye RED kama ni hivyo basi huyu mama ni mtu mwema sana kwani mama wa kambo wengiwao simulizi za watoto wa pande nyingine huwa siyo nzuri sana.
Lakini si Uraisi umekuja baadaye sana wakati alishaanza kuwatunza acha tumpe credit zake bwana!
Baba watoto akisha kuwa Rais hili halipo. Hutokea kwa wengine tu kama kwa NAPE!
Toa ushahid km ametumia za umma.
Chadema aibu mtakayoipata Chalinze hamtokaa musahau milele![]()
Baba kishawahi kuwa Mbunge then waziri wa nisharti na madini,waziri wa mambo ya nje na sasa ni rais wa Tanzania na pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,Mama ni mkurungezi wa WAMA,Mjumbe wa Nec,Na mke wa Rais wa JMT,Mtoto ni wakili wa kujitegemea,Tajiri,Mjumbe wa Nec,sasa Mbunge mtarajiwa,wewe mwenzangu na mimi ni nani ndani ya nchi hii?