Ya leo leo nimeitoa Facebook

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,385
2,000
UWEPO WAKO KAMA MPENZI HAUWEZI KUZIBWA NA HELA.... Hii ni kwa wale ambao wanadhani hela ni kila kitu,especially wanaume....Una mpenzi wako yuko mbali,aidha mkoani,au shule anasoma..Huendi kumuona...Akikumiss ni yeye tu anakuja,we umetuliza kengele home unajifanya una mapenzi ya Afisa wa TRA,hadi ufuatwe wewe dirishani…Usidhani Mwanaume uko peke yako,kuna wenzio kibao wanashow Love kwa huyo mtoto,halafu wewe unajifanya bwanyenye,hadi ufuatwe,na akikumiss sana unamtumia hela kwa M-Pesa,Babe za Matumizi hizo...Ana wazazi wanampa hela,na yeye anazo za kwake,anachohitaji ni uwepo wako karibu naye na sio Pesa...Pesa hazitoi Mahaba narudia tena PESA HAZITOI MAHABA. Wakati wewe uko bize kumtumia hela,kuna jamaa anapiga ndogondogo,akiitwa tu huyoooo dakika 5 nyingi,atachukua mzigo fasta utatoa macho kama Lodolofa kafumaniwa…Utajiuliza kaibiwa saa ngapi na kuanza kummind haridhiki,na ana tamaa,lakini utakuwa umeyasababisha mwenyewe kwa kujifanya Bize. Uwepo wako unahuu sana...Chukua hiyo!.. GOOD NIGHT MATE
 
Top Bottom