PRECIOUSNESS
Member
- Apr 10, 2013
- 54
- 13
Likitokea la kutokea hapo utasikia shetan kanipitia, jaman huyu shetan mengine hata yeye anayashangaa maana hayajui
Ni fremu gani pale ati??
...ningempigaje picha mwanamke mwenzangu jamani?.
Kazi ya kamera kwenye simu uliyonayo ni nini?
Sio rahisi kama unavyofikiria, wewe ungeweza ila mi siwezi!
Baada ya ile frem wanauza chipsi, inayofuatia kuna saloon ya kike
Unatu-tuja tu. Si ungemuulizae pale?
ungefanya yako nae afanye yake!
kwa hiyo ukaona papuchi yake loh!!!