Mahunguchila
Member
- Jun 11, 2012
- 74
- 34
Asubuhi asubuhi napita maeneo ya Kurasini kwenye uchochoro wa kelekea Uhamiaji.
Mbele baada ya ule uchochoro kuna fremu mbili tatu na pia kuna saloon ya kike.
Namuona mdada white amekaa lakini kwa mbali nagundua kuwa amekaa ndivyo sivyo.
Moyoni nikawaza ivi huyu amejisahau au!
Nikasema kimoyomoyo ngoja nimkaribie! Lahaulaaa! Mdada yupo uchi kabisaa! Amekaa kwenye kiti cha pepsi miguu kaitanua afu anajifanya busy anaongea na simu.
Nikamwambia dada umekaa vibaya (nikidhani labda amejisahau) hakunijibu akiwa busy kusikiliza simu (sijui kama kweli alikuwa anamsikiliza mtu).
Nikarudia tena dada kaa vizuri, akapiga kimya! Nikarudia tena na tena mwisho akaniambia 'we shida yako nini? Ebu sepa zako'. Kweli nikasepa huku nikiwaza kwa nini yule dada ameachukua uamuzi ule asubuhi asubuhi.
Ananjiuza?Anamtega mtu?Sharti la mganga?Anapunga upepo? au.....au.....! Kweli hii ya leo ni kali.