Ya leo kali

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
Nimestaajabu sana kuona baada ya yanga kufunga
wakati wa kupiga picha eti taa za gari ndo
zimetumika kumulika ,sikujua kama hali ya nji
hii ni mbaya kiasi kwamba hata jenereta ya dharura
uwanja mkubwa na wa kimataifa haipo
nimesikitika sana
 
Flora huna haja ya kusikitika, hayo ni matokeo ya sera mbovu za nchi na Taaa ne sco
 
asee af inaonekana kila mahali duniani
kwakweli tunahali ya kutisha
muda huu sehemu karibia zote humu mjini
nooooooooooo power
Sister Flora pale generator lipo na jipya kabisaa lakini nasikia wafanyakazi huuza diezel ya akiba na hamna hatua inayochukuliwa,very sad(msisitizo).
 
Tujipe pole watanzania. Kwa sera hizi mbovu htimaye masikitiko RAIS KUPITIA WATENDAJI WAKE ATAJIVUNIA NN ATAKAPOMALIZA MUDA WAKE.
 
Kwenye hili hakuna sababu ya kulaumu TANESCO. Mambo ni suala la kujiandaa nalo. CECAFA wanajua kabisa tatizo la umeme la nchi hii, tukizingatia mwenyekiti wake ni m tz. Walitakiwa kupanga mechi ziishe mapema kabla ya giza kuingia. Kama ni generator walitakiwa kujihakikishia kuwa linafanya kazi. Ni uzembe wa CECAFA sio TANESCO.
 
Haya tutayaona mengi na mengine makubwa zaidi ya hayo, hata hosp. unaambiwa no operation kwa vile generator haina nguvu na umeme hakuna, lakini si kura mliwapigia nyie wenyewe, basi vumilieni.
 
sister flora pale generator lipo na jipya kabisaa lakini nasikia wafanyakazi huuza diezel ya akiba na hamna hatua inayochukuliwa,very sad(msisitizo).
huu ni ufala tuu huo uwanja c una meneja kwanini hakuangalia hilo kabla mambo hayajawa hovyo? Kwanza inaelekea yeye meneja ndo mchakachuaji
 
Back
Top Bottom