Ya Leo haya

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
a2227322ad6b3bc0862dec6d75f7cc9f.jpg
2f6f98397420540b9601c40380617755.jpg
7bfe8f32c213395caece8b12751779d1.jpg
f1bcaf7669be626b81b7d76ff0840ada.jpg
f7f2ce808819e123892b5e9cdcd77853.jpg
 
Hawa wabunge wakati mwingine wanatucheleweshea mambo yetu, sioni wanachokifanya Bungeni zaidi ya kula posho za makalio tu.
Halafu huyu Maalim Seif mwaka jana si alisema baada ya muda mfupi atakuwa Rais au alimaanisha 2020..?
 
Wewe utaamini wabunge wanashindia uji na ubuyu kwa kukosa chakula??
 
Kwani hao wabunge wameanza leo kuongea upumbavu wao mimi sioni hata haja ya kuwa na wabunge njaa kama hawa wanaangalia tu matumbo yao Pumbavu zenu wabunge wote wa bunge la Tanzania hamjitambui hata kidogo akili hamna
 
Duuu hakuna habari ya bongolala kweli waandishi wamekomaa kiutendaji na kiufundi asanteni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom