kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,487
mtizamo wako kwasie tulie kuwa tunafuata taratibu mambo hayakua rahisi kwetu. hata kodi za fremu majumba hazikua halisi. narudia tena wizi ulikua ndio ujanjaKipindi cha kikwete kilikuwa cha wananchi kutafuta mitaji na kuwekeza kwenye maeneo ambayo yatatoa ajira kwa wananchi mijini na vijijini.
Watu wengi waliweza kulima, kufuga na kujenga kwa urahisi tofauti na sasa ambapo kupata mtaji ni jambo gumu sana. Taifa ni lazima liwe na mahali pakuanzia. Shule, hospitali, vyuo, viwanda, bank, petrol station, vyombo vya habari, mabwa ya samaki na mashamba vilijengwa na kuajiri watu wengi sana.
Migogoro ya ardhi ilizuka kwakuwa kila MTU alitaka kulima, kufuga na kujenga. Haya yalikuwa mapinduzi makubwa sana kwa Taifa hili, asitokee MTU kumdhihaki JK.
Narudia tena, kipindi cha kikwete kilikuwa kipindi cha watanzania kutafuta mitaji ya uwekezaji. Kipindi cha Nyerere watanzania wengi kama sio wooote walikuwa masikini sana kuweza kuwekeza chochote kokote. Hata wazungu pia walikuwa na kipindi cha mpito cha wazungu kutafuta mitaji ya kuwekeza kwa njia ambazo sasa hivi hazikubaliki tena. Mfano, walitumia watumwa, kufanyisha kazi watu kwa masaa mengi hata watoto na kuvamia na kutawala mataifa mengine kama makoloni yao na kupora lasirimali zao.mtizamo wako kwasie tulie kuwa tunafuata taratibu mambo hayakua rahisi kwetu. hata kodi za fremu majumba hazikua halisi. narudia tena wizi ulikua ndio ujanja
Umedanganywa. Exposure ni mtaji muhimu sana. Unapotoka nje ya nchi unafahamu mengi sana na kupata ujasiri wa Ku "think globally and act locally" yaani unaona nje wanafanya nini na kurudi nyumbani kuyatekeleza uliyoyaona nje.Trip za majuu kibao. Kuzid kupungua kwa tembo na wanyama wengine mbugani. Wazungu kujichotea zahabu kupitia mikataba na usimamiz feki. Watumishi wa uma kwenda majuu kuhuzuria semina wakati hiyo semina ingeweza fanyikia bagamoyo. .
Umedanganywa. Exposure ni mtaji muhimu sana. Unapotoka nje ya nchi unafahamu mengi sana na kupata ujasiri wa Ku "think globally and act locally" yaani unaona nje wanafanya nini na kurudi nyumbani kuyatekeleza uliyoyaona nje.
Kwetu watu wengi wanakalia vigoda, sisi kwetu pekee ndio tulikuwa na viti vya mbao vya kukunya, mimi nilidhani kuwa sisi ndio wenye viti bora duniani lakini nilipokwenda sekondari nilikuta makochi nyumbani kwa mkuu Wa shule nikayashangaa.
Kazi za kutekana,kupigana risasi, ni kazi tuThis is JPM time, Hapa Kazi Tu..!! Tuko busy na kazi
UDOM sawa lakin mwasisi wa shule za kata ni Mkapa (akitekeleza matakwa ya IMF) na kwahiyo ndie anastahili heshima hiyo!Namkumbuka kwa kujenga shule za kata + UDOM
village elder[emoji23] [emoji23]Tatizo la village elder ni kua anataka kila kitu awe nacho yeye na aabudiwe mfano logic ya kupunguza mishahara iwiane na wengine bado yoote ni kuona watu wengine wanaliowa 40,000,000 kwa mwezi roho inamuuma sana yani
wia on ze raiti trak[emoji23]Kweli Kabisa, Ila Leo Hata Yeye Anajuta Mno, Akitazama Uchumi Alivyopambana Kuukuza Leo Unaporomoshwa Kwa Kasi Ya 4G Na Bwana Faru, Roho Inamuuma Sana, Anaona Ni Bora Ata Angemaliza Tofauti Yake Na Blaza Edo Mamvi Akamwachia Nchi Hii Miaka Mitatu Tungekuwa Mbali Mno. Ila Ndugu Yenu Anafurahia Tu Kariakoo Kudoda, Mabenki Kufungwa, Biashara Kufungwa, Mahoteli Anayafunga Tu Huku Anachelea, Fedha Inashuka Thamani Anataka Aprint Mpya Yan Duh. Kagame Katuloga Sisi
Mlisema kwa kejeli na dharau kubwa kwamba alikuwa dhaifu.Mnaweweseka nini saaa ,Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. Ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Mbona wewe 'hushindi mitandaoni' lkn hali yako ni choka mbaya bin chokest!Nakumbuka ulikuwa unapata muda mwingi wa kushinda mitandaoni. Saivi shinda mitandaoni kama hulali njaa
Enzi za JPM unafanya kazi na hela hupati. Waliojiajiri ndio wanateseka kabisa, TRA imewafilisi kwa Kofi. Wafanyabiashara wamefunga maduka. Taabu juu ya taabu.This is JPM time, Hapa Kazi Tu..!! Tuko busy na kazi
Kazi isiyo kuwa na return hiyo mkuuThis is JPM time, Hapa Kazi Tu..!! Tuko busy na kazi