misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,046
- 13,171
Nakumbuka ulikuwa unapata muda mwingi wa kushinda mitandaoni. Saivi shinda mitandaoni kama hulali njaa

Nakumbuka ulikuwa unapata muda mwingi wa kushinda mitandaoni. Saivi shinda mitandaoni kama hulali njaa

Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Barabara ya mwenge tegeta, tatizo la Kikwete ni moja tu/ yeye ndio chanzo cha huyu bwana anaetuchukia wenye nchiMimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Waziri wa mabarabara na madaraja alikuwa nani??Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Nina uhakika wewe ni miongoni mwa waliombeza kuwa ni mpole, anachekacheka tu, anasafiri sana, ila sasa umegeuka baada ya kuona na upande mwingineMimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Waziri wa mabarabara na madaraja alikuwa nani??
Hivi ukiwa chadema lazima uishiwe akili kiasi hiki??