M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
mimi namkumbuka kwa baya moja tu ambalo linayafuta hayo mazuri yote.Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
hili la ku force issue na kutuletea huyu!!