Ya Kikwete yanafurahisha

Ya Kikwete yanafurahisha

Tanzania tuitoeni ccm madarakani hata term moja tu, watakapo rudi watakuwa wamejifunza mengi sana.
Hii ya kusema Jakaya sijui Magu tuna potea.
Tukiweza kuitoa CCM madarakani tutatengeneza upinzani wa kweli Tanzania
Sio kuitoa tu madarakani kama fashion bila kujua kwanini tunaitoa na nani tutamkabidhi kwa sababu gani. Uganda, Kenya, DRC, Malawi, Zambia walifanikiwa kuwatoa lakini hadi sasa hatupishani. China hawajawahi kubadilisha chama lakini mambo yao yanaenda sawa, shida sio chama bali wanaokiongoza chama na Katiba mbovu.
 
JK alikuwa akisafiri mara kwa mara kwenda nje ya nchi kuimarisha mahusiano na nchi mbalimbali.Huyu wa sasa amekuwa akisafiri mara kwa mara kuzungunguka mikoani kwa ajili ya kuligawa taifa kikanda,kikabila na kichama pia kufanya matumizi haramu ya kununua wapinzani na kuwatisha au kuwapoteza kabisa.
 
1. Microeconomy ilistawi mzunguko ukawepo, wajasiriamali wakapata ujasiri wa kuvuka border Hongkong, taiwani, guanzhou, Bangkok, South Africa, Dubai nk..
2. Dada zetu nao wauza papuchi wakapata connection wakakwea pipa kwenda kuuza papuchi abroad..
3. Kariakoo ikawa mwayamwaya, Mwanza,Mbeya na Arusha mzunguko wa hela ukawa balaa..
4. Elimu ya juu watu wakasoma, watumishi wa umma wakapata nafasi ya kujiendeleza, vyuo vikuu vikashamiri, wahitimu wakawa wengi..
5. Mabenki yakukopesha, saccoss, taasisi za kifedha na kukopesha wananchi zikashamiri pia..
6. Mahoteli yakaongezeka na vyumba vikajaa, eeeeh lazima vyumba vijae mzunguko upo na watu wanasafiri..
7. Kusini kule makampuni ya gas yakafurika, Mtwara ikawa kuchele...
8 . Migodi mipya ikawa inazaliwa kila uchwao wabongo wakapata ajira, exposure na trainings za kutosha, GOVT ikapata mapato si haba kuliko hamna..
9. nk, nk, nk..

Tumpe JPM miaka kumi naye tuone maana kila Manager ana mipango yake kufikia matokeo chanya..

JK hakuwa manager alikuwa ni Leader.
 
Sio kuitoa tu madarakani kama fashion bila kujua kwanini tunaitoa na nani tutamkabidhi kwa sababu gani. Uganda, Kenya, DRC, Malawi, Zambia walifanikiwa kuwatoa lakini hadi sasa hatupishani. China hawajawahi kubadilisha chama lakini mambo yao yanaenda sawa, shida sio chama bali wanaokiongoza chama na Katiba mbovu.
Mkuu Kenya wanajitahidi sana, lkn kwanini nasema tuwatoe ni kwasababu watanzania wengi wanaamini kujipendekeza kwa viongozi wa CCM na serikali ndio kutoka kimaisha.
Pia CCM wakitoka watu wengi wataacha kuchagua kwa mazoea zaidi
 
Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:

1. Ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba

Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
Namkumbuka kwa kukumbatia majizi,wauza madawa ya kulevya,matapeli,uwajibikaji duni wa Watumishi wa Serikali
 
Mkuu Kenya wanajitahidi sana, lkn kwanini nasema tuwatoe ni kwasababu watanzania wengi wanaamini kujipendekeza kwa viongozi wa CCM na serikali ndio kutoka kimaisha.
Pia CCM wakitoka watu wengi wataacha kuchagua kwa mazoea zaidi
Kama ninakuelewa kwa mbaaali vilee!!. Kama mtawala akijua kuwa kuna uwezekano wa yeye na chama chake kushindwa uchaguzi siku moja anaweza kufanya yafuayayo:

1. Ama kujilimbikizia mali zaidi, au
2. Kufanya mazuri na kutimiza ahadi zake ili yeye au chama chake kisiadhibiwe
 
Pamoja mkuu
 
Pia ukumbuke hapa katiba itawekwa vzr sana ili kuwe na fair play kwa kuhofia mpinzani alieingia asing'ang'anje madaraka
 
Mimi nakumbuka chai ya Ikulu.
Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:

1. Ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba

Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?
 
Mkuu Kenya wanajitahidi sana, lkn kwanini nasema tuwatoe ni kwasababu watanzania wengi wanaamini kujipendekeza kwa viongozi wa CCM na serikali ndio kutoka kimaisha.
Pia CCM wakitoka watu wengi wataacha kuchagua kwa mazoea zaidi
CCM haitatoka kwa kura..itatolewa na dola
 
babu seya kukaa segerea

Hili halikutokea kipindi cha JK, jaribu kufanya uchunguzi vizuri.. Kesi ya Babu Seya ilianza kuuguruma kabla ya 2005..JK aliingia madarakani 2005-2015.
 
Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K

Kwa hiyo huyu aliyepo atafanikiwa katika miaka yake kumi kufikisha maji vijiji vyote?
 
Back
Top Bottom