Ya Gwajima na mbinu za kijasusi za blackmailing

tatizo hatuna wasomi wa digital forensic,wangetuambia hadi hizo footaje zimechukuliwa lini na kama ni fake au original,watu hawana uelewa kuwa Gallery ya simu yako inaweza kuwa hacked na watu wakapakuwa video au picha zako wakiwa hata new york,provided tu wana namba zako
 
Unamtengaje Jiwe na Bashite! kuhusu ile clip labda useme imeungwaungwa ila niyeye
Gwajima hajawahi kumsema vibaya jiwe, zaidi ya bashite, labda useme walitaka kumtumia akakataa, ila kwa hii post yako ina maana kwamba umehitimisha kuwa ile clip inayosambaa ni kweli.
 
tatizo hatuna wasomi wa digital forensic,wangetuambia hadi hizo footaje zimechukuliwa lini na kama ni fake au original,watu hawana uelewa kuwa Gallery ya simu yako inaweza kuwa hacked na watu wakapakuwa video au picha zako wakiwa hata new york,provided tu wana namba zako

Unakumbuka wale madada waandishi wa habari kutoka nje waliokuja nchini kufuatilia ishu ya Azory Gwanda walisema nini baada ya kuachiliwa kutoka walipotekwa na maofisa wa kitengo?
Walisema Ofisa aliyewateka alijisifu kuwa "Kitengo" kinajua nyendo zao wote kwa sababu Kimepata tekinolojia ya kudukua Social media za watu kutoka ISRAEL!.
Kwa hiyo Watu maarufu nchini si ajabu kupakua video zao za private kama "Kitengo" kinawafuatilia
 
Gwajima kutomsema vibaya dingi ilikuwa ni tactical move ya yeye kujilinda kutokana na nguvu ya cheo cha urais, lakini Ujue kuwa Bashite na dingi yake lao moja, ukimgusa Bashite wewe ni adui wa dingi, lazima ujue kuwa Bashite ana ambition ndefu huko mbeleni, bila kumdiscredit Gwajima juu ya madai yake ya vyeti feki ni doa lisilofutika kwa Bashite, kwa hiyo kama wana taarifa chafu za Gwajima lazima Gwajima awe blackmailed tu kumsafisha Bashite au kuimba Zumari kwa utawala la sivyo wamuadhibu mdogo mdogo, na hivi unavyoona picha limeanza.
Usije kushangaa huko Mbeleni Gwajima mbele ya Madhabahu au Press conference kumuomba msamaha Bashite kuwa taarifa alizozitoa zamani juu ya elimu yake "alikosea", "hakuwa na taarifa sahihi" etc
Kumbuka Career ya Bashite ya kisiasa iko mikononi mwa Gwajima kumsafisha!
Bashite hata umlambe vipi akili aliziacha nyegezi
 
Tafuta jik, mbuni, foma, omo na sabuni yoyote unayo ijua ila Gwajima hasafishikiiiiii.
NALIAMSHA DUDEEEEEEEEEE
 
*UTAFITI NILIOFANYA KWA VIDEO NA PICHA ZINAZOSAMBAZWA KUHUSU GWAJIMA*

Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..

Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu

Shujaa CRM
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Swali ni je alirekodiwa kwa kulazimishwa au alijirekodi? Kama alijirekodi Kama inavyoonekana hakuna cha kumtetea wala jick ya kumsafisha, asitafutwe mchawi nani wakati mchawi ni yeye mwenyewe.
Kujirekodi huenda Lili kuwa shariti la mrembo,unajua fume likiwa kwenye huhitaji
 
tatizo hatuna wasomi wa digital forensic,wangetuambia hadi hizo footaje zimechukuliwa lini na kama ni fake au original,watu hawana uelewa kuwa Gallery ya simu yako inaweza kuwa hacked na watu wakapakuwa video au picha zako wakiwa hata new york,provided tu wana namba zako
Bado watu ni mbumbumbu.
 
*UTAFITI NILIOFANYA KWA VIDEO NA PICHA ZINAZOSAMBAZWA KUHUSU GWAJIMA*

Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..

Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu

Shujaa CRM
Acha uzezeta.
 
Gwajima hajawahi kumsema vibaya jiwe, zaidi ya bashite, labda useme walitaka kumtumia akakataa, ila kwa hii post yako ina maana kwamba umehitimisha kuwa ile clip inayosambaa ni kweli.
Yani bado kuna kiumbe haamini kuwa ile video ni ya kweli...?
 
Mm nadhan wanatuhamishia mjadala wa MDUDE video imetengenezwa open your mind guys[emoji855][emoji855][emoji855]
 
Hakuna mwanamke anayetaka kurekodiwa na wengi hurekodiwa kwa kulazimishwa hata kwenye hii ya Gwajima mwanamama ni almost haonekani sura.
Kujirekodi huenda Lili kuwa shariti la mrembo,unajua fume likiwa kwenye huhitaji
 
Kiroho haya maneno ni sawia kabisa "Sasa shetani huwa hana rafiki, hata umtii kiasi gani, hata umfanye rafiki kiasi gani yeye anataka total obedience, hakumbuki uliyomtendea jana yeye anataka umtendee anavyotaka leo ,kesho na keshokutwa.Ukitaka kujinasua tu unakuwa umegeuka adui yake",ila hayo mengine ni yako mimi siko huko,kwahiyo tumtii Mungu huyu shetani lengo lake ni kutupeleka kuzimu...
 
Swali ni je alirekodiwa kwa kulazimishwa au alijirekodi? Kama alijirekodi Kama inavyoonekana hakuna cha kumtetea wala jick ya kumsafisha, asitafutwe mchawi nani wakati mchawi ni yeye mwenyewe.

Nahisi ni blackmailer getting blackmailed....
Alirekodi ili amblackmail yule mwanamke, inawezekana mwanamke kaenda kushtaki, sasa yeye ndio anakuwa blackmailed.
 
watu mjifunze sasa faida za kujirekodi faragha ndio hizi!
 
Kitendo cha bashite kuishikia bango, issue ya mdude na bunge, inatia shaka hasa ikizingatiws ni kawaida yao kuja na matukio ili kuzima mijadala, kitendo cha video kusambaa kama ni ya kweli ni tosha kujaribu reputation ya Gwajima haikuhitaji any push kutoka kwa mtu yoyote.

Back
Top Bottom