Ya Gwajima na mbinu za kijasusi za blackmailing

Ya Gwajima na mbinu za kijasusi za blackmailing

Watoa taarifa wamenitonya kwamba file la Mzee wa nyusi nyeupe Kakobe litakuwa funga kazi.. Stay tuned
 
Mambo mengine tumuachie Mungu yeye anajua yaliyofichika na hashindwi.. Hakuna utawala wa kishetani kama huu tunaokwenda nao. Yumkini hata Prof:Kabudi kabanwa na mtego huo maana sio kwa unafiki ule
 
*UTAFITI NILIOFANYA KWA VIDEO NA PICHA ZINAZOSAMBAZWA KUHUSU GWAJIMA*

Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..

Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali

Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio

Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video

Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa

Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?

Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu


Shujaa CRM
Huyu mwandishi ni Charles Mwaisemba (Kama ulivyoandika mwishoni) Huyu ndugu amesoma lini mambo ya ICT??
 
Yote haya, ukijumlisha na mengi yaliyotokea tangia 2015, utaona kwamba tuna timu ya kutisha sana ambayo hatujawahi kuwa nayo.
Sijui yote haya kikomo chake kitakuwaje? Kila mtu kujisalimisha?
Machache ya kukumbusha tu tulikopitia hadi hapa tulipo:
1. watu kupotea tu, wasijulikane walipo
2. watu kutaka kuuliwa, nusra za akina Lissu, wengine kama akina Mawazo hawakuwa na bahati hiyo
3. watu kuwekwa ndani, hasa siku za Ijumaa jioni. Tulikuwa hatuelewi maana yake nini. Sasa kila mtu anajua
4. kama huingii ndani ya mstari, biashara zako zinavurugwa; Mbowe, na Waziri Mkuu mstaafu aliyenyang'anywa mashamba
5. watu kuambiwa sio raia wa nchi hii wanapoonekana kuwa kero. Twaweza hawawezi tena
6. mbinu za ajabu sana za kuwaweka wanapotakiwa kuwepo - unakamatwa na nyara za serikali, au una kabiriwa na kesi ya uhujumu uchumi. Unapewa 'option' tubu na utaachiwa kwa kukubali makosa na kutozwa faini na mahakama zilizofundishwa sheria mpya ambazo hazikutungwa na Bunge.

7. Bila shaka akina Mo siku moja watapata fursa ya kueleza kidogo wasityoweza kuyaeleza sasa hivi. Mambo ya ajabu sana ambayo hayawezi kutegemewa kufanywa na wanayoyafanya.
8. hata kama hili halihusiani na hayo mengine, lakini nalo linafaa kutajwa kwa u'uniqueness' wake. Inaweza kuchangia katika kujua baadhi ya haya mengine. Kukataa katakata kusafiri. Ni ajabu sana. Hii sio kupunguza matumizi tu. Kuna sababu nyingine.

Kuna uwezekano mkubwa pia kwamba akina Lema, licha ya kibano cha kuwekwa ndani kuna masharti ya ziada waliyopewa ili wapoe zaidi

Na vipi wale viongozi wa dini wote waliopewa semina baada ya zile Nyaraka? Kule kugeuka kulikotokea hakukuwa kwa kawaida. Inawezekana kila mmoja wao alipewa masharti asiyoweza kuyakataa?
Asante.
 
Jamani tusiwe wajinga, tujiulize....je, Gwajima alilazimishwa kujirekodi? Mtu gani anajirekodi anangononeka huku akiwa na furaha ya kusaliti mkewe?
 
Moja ya vitu naogopa ni kujirekodi faragha. Simu zenyewe hizi za kuazimana azimana, sifikirii Kama Gwajima alikua au ana impact yeyote kwenye utawala wa Jiwe.

Kwanza baada ya ile skendo Bashite kupita mbona watu walishamsahau. Njia ya mzinzi ni fupi, hii ni uthibitisho tosha Bishop anawatafuna sanah kondoo wake.
 
Kuna taarifa watu wanatoa kuwa Kuna mdogo wa Gwajima anaitwa Samsoni Gwajima alisoma Tegeta High School wamefanana kama mapacha, isijekuwa ndio yeye ila sema mzigo ukamwangukia mchungaji
 
Mambo mengine tumuachie Mungu yeye anajua yaliyofichika na hashindwi.. Hakuna utawala wa kishetani kama huu tunaokwenda nao. Yumkini hata Prof:Kabudi kabanwa na mtego huo maana sio kwa unafiki ule
Kabudi na mzee baba ni kama chanda na pete...wanapendana balaa...ndio maana kabudi aliona km wizara ya mambo ya nje km anavyowish iwe...akamwambia mzee baba hebu fanya utaratibu niingie hii wizara nikapambane na mabeberu...
 
Mara nyingi watu maarufu wenye ushawishi katika nchi mbalimbali taarifa zao za siri husakwa kwa udi na uvumba. Husakwa na maadui zao, husakwa na mashirika ya kijasusi.

Lengo huwa ni kuwaweka katika msitari, kuwablackmail pindi wakitaka kupata maslahi kutoka kwao.

Kwa upande wa mashirika ya kijasusi, wao hutafuta taarifa za watu influential ili kuwafanya wawe watiifu kwa mamlaka, la sivyo wanampiga mkwara kuwa ukisema su tunazivujisha taarifa zako!.

Miongoni mwa taarifa huwa ni matendo kama ya ushoga, kulala na watoto wadogo ( pedophilia), uzinzi nje ya ndoa etc.

Mtu unaweza kushangaa kwa nini Gwajima siku za hivi karibuni amekuwa mtu wa kusifusifu mamlaka, mtu wa kuonekanaonekana kwenye shughuli za utawala huu, mtu wa kujaribu kuusafisha utawala huu kwa kutumia star power yake ya uhubiri.

Sasa nimeanza kuelewa kwa nini Gwajima alipiga u-turn na kuanza kuwa mpiga zumari wa utawala uliomuita muuza ngada!. HUENDA GWAJIMA AMEKUWA COMPROMISED, Huenda Huenda System ina File lake Chafu na sasa mdogo mdogo wameanza kuuachia kutokana na sababu wanazozijua wao!

Huenda U-turn ya Gwajima ilitokana na wazee kuwa na information zake "chafu" ambazo walizitumia kumblacmail kwamba usipoendana na "sisi" tunavujisha mzigo mtandaoni, tutakuondolea credibility na tutakuharibia career.
Sasa sijui kama Gwajima alikosana au alitishia kwenda nje ya msitari, watu wameamua kumnyamazisha mazima!

Sasa shetani huwa hana rafiki, hata umtii kiasi gani, hata umfanye rafiki kiasi gani yeye anataka total obedience, hakumbuki uliyomtendea jana yeye anataka umtendee anavyotaka leo ,kesho na keshokutwa!. Ukitaka kujinasua tu unakuwa umegeuka adui yake!

Msione watu wako kimya mkadhani wanapenda kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo, huenda kuna watu wana video zao chafu, wana picha zao chafu, wana documents zao za kuwamaliza!. Wanabaki kukaa kimya tu la sivyo watu wanazivujisha then inakula kwao!
Dunia Ina mambo.
Yaani unajipiga picha then inaenda kwenye saver ya mwingine.
Hii ni zaidi ya hatari.
Lakini kwanini ujipige picha ya aina hiyo?
Duuuh!
Tutajifunza kuwa na adabu na vifaa vyetu vya kielekroniki.
 
Mkuu unamkumbuka Prof:Kabudi alipokuwa Tume ya Marekebisho ya Katiba? Kabudi ni mwalimu wangu namjua misimamo yake kuhusu utawala bora na demokrasia huyu wa sasa sie yule tunaemjua
Kabudi na mzee baba ni kama chanda na pete...wanapendana balaa...ndio maana kabudi aliona km wizara ya mambo ya nje km anavyowish iwe...akamwambia mzee baba hebu fanya utaratibu niingie hii wizara nikapambane na mabeberu...
 
Gwajima kutomsema vibaya dingi ilikuwa ni tactical move ya yeye kujilinda kutokana na nguvu ya cheo cha urais, lakini Ujue kuwa Bashite na dingi yake lao moja, ukimgusa Bashite wewe ni adui wa dingi, lazima ujue kuwa Bashite ana ambition ndefu huko mbeleni, bila kumdiscredit Gwajima juu ya madai yake ya vyeti feki ni doa lisilofutika kwa Bashite, kwa hiyo kama wana taarifa chafu za Gwajima lazima Gwajima awe blackmailed tu kumsafisha Bashite au kuimba Zumari kwa utawala la sivyo wamuadhibu mdogo mdogo, na hivi unavyoona picha limeanza.
Usije kushangaa huko Mbeleni Gwajima mbele ya Madhabahu au Press conference kumuomba msamaha Bashite kuwa taarifa alizozitoa zamani juu ya elimu yake "alikosea", "hakuwa na taarifa sahihi" etc
Kumbuka Career ya Bashite ya kisiasa iko mikononi mwa Gwajima kumsafisha!
so what u r saying ni kwamba makonda ndie aliemtongozea na kumpelekea mwanamke chumbani na kumtuma ajirekodi wakati wa uzinzi au?
 
Dada mange kasema
Ova
Screenshot_20190508-143217_Instagram.jpeg
 
Mara nyingi watu maarufu wenye ushawishi katika nchi mbalimbali taarifa zao za siri husakwa kwa udi na uvumba. Husakwa na maadui zao, husakwa na mashirika ya kijasusi.

Lengo huwa ni kuwaweka katika msitari, kuwablackmail pindi wakitaka kupata maslahi kutoka kwao.

Kwa upande wa mashirika ya kijasusi, wao hutafuta taarifa za watu influential ili kuwafanya wawe watiifu kwa mamlaka, la sivyo wanampiga mkwara kuwa ukisema su tunazivujisha taarifa zako!.

Miongoni mwa taarifa huwa ni matendo kama ya ushoga, kulala na watoto wadogo ( pedophilia), uzinzi nje ya ndoa etc.

Mtu unaweza kushangaa kwa nini Gwajima siku za hivi karibuni amekuwa mtu wa kusifusifu mamlaka, mtu wa kuonekanaonekana kwenye shughuli za utawala huu, mtu wa kujaribu kuusafisha utawala huu kwa kutumia star power yake ya uhubiri.

Sasa nimeanza kuelewa kwa nini Gwajima alipiga u-turn na kuanza kuwa mpiga zumari wa utawala uliomuita muuza ngada!. HUENDA GWAJIMA AMEKUWA COMPROMISED, Huenda Huenda System ina File lake Chafu na sasa mdogo mdogo wameanza kuuachia kutokana na sababu wanazozijua wao!

Huenda U-turn ya Gwajima ilitokana na wazee kuwa na information zake "chafu" ambazo walizitumia kumblacmail kwamba usipoendana na "sisi" tunavujisha mzigo mtandaoni, tutakuondolea credibility na tutakuharibia career.
Sasa sijui kama Gwajima alikosana au alitishia kwenda nje ya msitari, watu wameamua kumnyamazisha mazima!

Sasa shetani huwa hana rafiki, hata umtii kiasi gani, hata umfanye rafiki kiasi gani yeye anataka total obedience, hakumbuki uliyomtendea jana yeye anataka umtendee anavyotaka leo ,kesho na keshokutwa!. Ukitaka kujinasua tu unakuwa umegeuka adui yake!

Msione watu wako kimya mkadhani wanapenda kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo, huenda kuna watu wana video zao chafu, wana picha zao chafu, wana documents zao za kuwamaliza!. Wanabaki kukaa kimya tu la sivyo watu wanazivujisha then inakula kwao!
Mkuu umesema kweli hakika uzi na mawazo yako upo sahihi.,ngoja tusubiri
 
Gwajima hajawahi kumsema vibaya jiwe, zaidi ya bashite, labda useme walitaka kumtumia akakataa, ila kwa hii post yako ina maana kwamba umehitimisha kuwa ile clip inayosambaa ni kweli.
Mkuu huwez kumtenganisha Bashite na jiwe
 
Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hayo uliyoandika huko juu tunaweza kuyajadili na pengine 'utaalam' wako ukatusaidia kugundua hadaa iliyofanyika.
Unanitatiza kwa mstari huu uliouandika hapo juu. Kama tunaweza kukubali kwamba kuna watu waovu wanaoweza ku'photoshop' picha za watu kwa malengo waliyonayo, itakuwaje isiwezekane pia kutegeshea kamera ya kumnasa mtu wanayetaka kumuaibisha?

Kama picha sio za kuungaunga, inawezekana zikawa picha halisi zilizopatikana kwa mpango maalum. Sielewi kwa nini wewe hili unalikataa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom