Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,991
- 63,001
Mara nyingi watu maarufu wenye ushawishi katika nchi mbalimbali taarifa zao za siri husakwa kwa udi na uvumba. Husakwa na maadui zao, husakwa na mashirika ya kijasusi.
Lengo huwa ni kuwaweka katika msitari, kuwablackmail pindi wakitaka kupata maslahi kutoka kwao.
Kwa upande wa mashirika ya kijasusi, wao hutafuta taarifa za watu influential ili kuwafanya wawe watiifu kwa mamlaka, la sivyo wanampiga mkwara kuwa ukisema su tunazivujisha taarifa zako!.
Miongoni mwa taarifa huwa ni matendo kama ya ushoga, kulala na watoto wadogo ( pedophilia), uzinzi nje ya ndoa etc.
Mtu unaweza kushangaa kwa nini Gwajima siku za hivi karibuni amekuwa mtu wa kusifusifu mamlaka, mtu wa kuonekanaonekana kwenye shughuli za utawala huu, mtu wa kujaribu kuusafisha utawala huu kwa kutumia star power yake ya uhubiri.
Sasa nimeanza kuelewa kwa nini Gwajima alipiga u-turn na kuanza kuwa mpiga zumari wa utawala uliomuita muuza ngada!. HUENDA GWAJIMA AMEKUWA COMPROMISED, Huenda Huenda System ina File lake Chafu na sasa mdogo mdogo wameanza kuuachia kutokana na sababu wanazozijua wao!
Huenda U-turn ya Gwajima ilitokana na wazee kuwa na information zake "chafu" ambazo walizitumia kumblacmail kwamba usipoendana na "sisi" tunavujisha mzigo mtandaoni, tutakuondolea credibility na tutakuharibia career.
Sasa sijui kama Gwajima alikosana au alitishia kwenda nje ya msitari, watu wameamua kumnyamazisha mazima!
Sasa shetani huwa hana rafiki, hata umtii kiasi gani, hata umfanye rafiki kiasi gani yeye anataka total obedience, hakumbuki uliyomtendea jana yeye anataka umtendee anavyotaka leo ,kesho na keshokutwa!. Ukitaka kujinasua tu unakuwa umegeuka adui yake!
Msione watu wako kimya mkadhani wanapenda kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo, huenda kuna watu wana video zao chafu, wana picha zao chafu, wana documents zao za kuwamaliza!. Wanabaki kukaa kimya tu la sivyo watu wanazivujisha then inakula kwao!