Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja


Wamekuja kwa kazi maalumu, huoni mishipa inavyowatoka kumtetea boss wao..... kubwa ilikuwa kuchakachua votes za JF and kupandisha chati ya JK.
 
Mbwambo sio '' Chambio la Mafisadi'' Tafakari '' ndo CLM
 
hicho kinachoitwa hoja wala sioni kama ni hoja. Mbwambo yuko sahihi kabisa tena hakuna alipokosea. Wewe ndiye mwenye matatizo. mtu anapokuwa mvivu kufikiri si vizuri ugonjwa wako ukawapa shida wengine. Mbwambo amethubutu. kama kuna alipokosea, tushomeshe.
 
Correction: Wahutu ambao unadai Kagame ana terrorize si wa Congo. Hawa walikimbia kutoka Rwanda baada ya njama zao za kuwaua Watutsi kukomeshwa. They are not innocent bystanders. Hata hivyo hujazungumzia jinsi Rwanda inavyochapuka kimaendeleo East Africa nzima. Leo wana airline yao inayokuja Dar-es-salaam wakati Kikwete amesaidia kuiua Air Tanzania kwa kumweka rafiki yake pale ambaye alikuwa amefukuzwa kazi na Mkapa. Talk about selectivity!
 

Mbwambo kimeo long time braza.
 
Ndo maana Mbwambo anaandika kitu kinaitwa tafakari jadidi na si utabiri. HONGERA MBWAMBO na kama mtu hawezi kutafakari basi akasome magazeti ya Shigongo
 

Jamani mbona mnaanza kuisahau mantiki ya demokrasia? Kuna sababu gani ya kila mtu kumpigia magoti JK wakati nafsi yake inasita? Mbwambo ni mmoja ya waandishi wanaopenda kueleza yale wanayofikiri bila kumung'unya mung'unya. Alisema hivyo wakati wa Mkapa na hata leo anaendelea kusema hivyo.
Ila ule ushauri alioutoa kwenye Raia Mwema ya wiki hii sio mchezo....jamaa hastahili kuwa rais..anafaa kuongoza Charity organization. Kwani kasema uongo?
 
Umenisaidia sana kukujua jinsi akili yako inavyofanya kazi. Kumbe hufai!!! Acha kumfatafata mtoto wa dada yangu... atataabika akiwa na wewe.
 
 

thats very true
 
...Unataka Mbwambo na Raia Mwema wawe wanamsifia JK?? Uhuru na Mzalendo watakuwa na kazi gani?? TBC na Daily News Je?? Go Mwambo, Go...!! :A S thumbs_up:
 
Sijui kama uli-TAFAKARI kabla kuweka post hii. This is a site for those who dare to talk and talk inteligently. Mbwambo kama ilivyo kwa watanzania walio wengi wenye uelewa wa kati na wa juu, JK ameshindwa kazi! kama wewe ni mwandishi mzuri omba page kwenye gazeti iulipendalo umtetee JK (Najua magazeti makini yatakubali kuchapa makala yako kwa sababu hata hivyo utakayoandika hayawakilishi maoni ya gazeti). Kama unaona unaumia kwa JK kuchafuliwa na Mbwambo na wewe andika umsifie JK. Unaonekana na wewe ilizipata za EPA. Anza kutafuta visa utorokee kokote kule kwani huyu unayemtetea amekwishaona maandishi ukutani (ambayo wewe huna upeo wa kuyaona): "Mene mene tekeli na peresi" (ufalme wake umepimwa na kuonekana umepungua); ataondoka, ataondolewa kinga, na kisha atashitakiwa na kuhukumiwa kwa sababu ni fisadi wa mafisadi! Wewe huna kinga, utaswekwa ndani haraka sana, Salama yako ni kuacha kumkumbatia huyu fisadi sasa! Rudisha pesa zetu! Take this gentle advice seriously!
 

Kwenda zako huko usituchanganye hukoooo watu tushachoka na ufisadi wenu we unatuletea pumba hapaa!!!! Hicho ndicho kilichokuleta JF kwa watu makini? Wasaliti kama nyie katika nchi za wenye kupenda haki adhabu yenu ni kunyongwa mpaka kufa. Yaani mimi hata kuusoma huo upupu wako nimeona kero nikaamuka kukatisha.
 
mbwambo tumetoka wote NDUNGU, wasikukatishe tamaa, andika bila woga. hao wanaokupinga hapa jamvini ni kina KINANA, usiwaogope, october 31 watathibitishwa na watanzania kuwa opposition side. HARIKAAAA....!!!
 

Kaka mnataka kubaki pekee yenu. Na wao pia wan haki ya kuja na misimamo na propganda zao kama ambavyo nayi mmekuwa mkitumi haki yenu. Matusi na kashfa hayana manufaa kwako na wal kwa ajenda yako inayokufanya uwe active hapa jamvini....

Kama ni majasusi inawezekana ni wale NUSU NYINGINE ambao hawareport kwa DR Slaa nao wapo kazini....
 
inakuuma nini JK kuandamwa na Mbwambo kwa mambo yenye ukweli,ndio Jk aende Rwanda akajifunze namna ya kujenga nchi na umoja wa kitaifa.Kagame is the best at all JK ni kihiyo sana hana darubini ndio maana anasingizia udini kama sababu ya kudhoofu kwake,hata Lowassa,Chenge,Karamagi,Makamba,Sofia walichaguliwa na JK.Jamani uzalendo kwanza
 
Ni haki yake kikatiba na kama JK haridhiki na chambuzi hizo naye ana haki zake kikatiba kulalamika mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…