ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
*Kununua madege sio solution ya kurahisisha maisha ya wanaoitwa wanyonge,hawa jamaa wana madege sio vipangaboi
*Ma flyovers na matreni ya umeme sio solution ya wanyonge wasio na maji,matibabu,umeme ,elimu hata mavazi
*Ethiopia kuhusu ndege na ma infrastructures nadhani kama ccm ya awamu ya tano wangekuwa navyo ingekuwa balaa,vingeonyeshwa kwenye tv kila dakika ila hawa wandugu kila siku wanakamatwa kwenye malorry huku bongo on transit to south africa
*Hakuna freedom of speech,watu wa kabila la Oromo wanauliwa kama wanyama,wamechoka wamekuja juu wamejitoa muhanga liwalo na liwe mwishowe viongozi wao wametolewa jeal na waziri mkuu wa Ethiopia kajiuzulu
Kwa sasa wako kwenye mjadala wa kitaifa kurudisha UMOJA WA KITAIFA uliopotezwa na ubabe wa watawala waliokuwa busy na madaraja,ma flyovers na mandege huku wakikandamiza haki za raia