Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha ambaye Jumapili ijayo tunaenda kumchagua kwa kura nyingi kuliko mbunge yeyote nchini aliyewahi kuchaguliwa kwa idadi hiyo kamanda Godbless Lema aliwahi kusema nchi hii imegeuka kuwa Ghetto kabisa wakati Magufuli akijitutumua kukataa nchi yenye maziwa na asali kufanywa ghetto.
Leo nilipoamka nikafungua kituo kimoja cha redio mara nikasikia yule jamaa aliyewahi kutuhumiwa na mbunge wa Arusha kuwa anafanya hujuma baada ya kuukosa u-IGP kahamishiwa kikosi za zima moto.Hata jua halijazama napokea habari kutoka mtandao wa uhakika kabisa JF kuwa kuna Majambazi wamevamia na kupora pesa CRDB na DCB Bank huko Chanika. Wadaiwa kuua kwa risasi watu 2 na kujeruhi baadhi ya wafanyakazi.Nilipofungua nikasoma eti yaliteka benki hizo kwa muda wa dakika 45 huku ikisema umbali wa kituo cha polisi na benki hizo ni umbali wa mtembea kwa miguu anaweza kutumia dakika 10 huku zikiendelea kusema polisi walifika eneo la tukio baada ya dakika 15.
Mimi kwa akili yangu nikawaza haya ndiyo aliyoyasema Lema? Jamaa kamind baada ya kupelekwa kuzima fire au kuna mtu anambipu Magufuli maana haiingii akilini watu wateke kwa muda wa dakika 45 alafu polisi wafike baada ya dakika 15.
Magufuli tumbua majipu.