Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

ZOYA internet

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
202
Reaction score
384
Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas.

BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda yas, sehem ya kulipia ni kwenye app ya mix by yas ambapo ukienda sehem ya bills payment utakutana na sehem imeandikwa FWA device . Ukigusa hapo utakuta sehemu ya kuweka reference number na kiasi.

OFFER YA KUTUMIA BANDO UNLIMITED MIEZI MIWILI BUREE. Ukishalipia hiyo 99000 unapewa na offer ya miez miwili kutolipia bill yani unatumia tu bando unlimited bila kuwaza mambo ya malipo.

MALIPO YA KILA MWEZI UNAWEZA KULIPIA KIDOGO KIDOGO ( INSTALMENTS)
Baada ya hiyo miezi miwili ya offer kila mwezi unaweza kua unalipia 70000 (kwa speed ya mbps 10) au LAKI MOJA(SPEED YA MBPS20) AU 150K (SPEED YA 50MBPS).
Hata kama ukitaka ulipie kidogo kidogo inawezekana kikubwa kwa mwezi itimie 70k
POWER BANK. ROUTER ZINA POWE BANK HATA UMEME UKIKATA BADO UNATUMIA

Karibu sana nikuuzie mm kama super agent wa yas.
0717700921​

 
Je ni unlimited kweli Mzee?.
Sio GB 700 , ni YouTube pekee ndio inaperuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom