Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,204
- 4,615
Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu?
HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
Hakuna shida mkuu!! Bado ni salama.Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu?
HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
Mashine nyingi Kwa SASA, ni za kisasa, na kiwango cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.
Kuwa na Amani mkuu! Mambo mengi yamebadilika sio kama zamani. X ray machine nyingi kwa sasa, ufanisi ni mkubwa, na kiasi cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.Nilifanya vipimo vya X-ray katika vipindi tofauti:
- Chest X-ray mara ya kwanza mwezi wa 1 mwaka 2022
- Skull X-ray mwezi wa 9 mwaka 2024
- Chest X-ray mwezi wa 1 mwaka 2025
- Skull X-ray mwezi wa 3 mwaka 2025
Baada ya kujua kuhusu madhara yanayoweza kuhusishwa na mionzi, nimekuwa na hofu kubwa kwamba huenda vipimo hivyo vimeniletea hatari ya kupata saratani siku zijazo.
SawaKuwa na Amani mkuu! Mambo mengi yamebadilika sio kama zamani. X ray machine nyingi kwa sasa, ufanisi ni mkubwa, na kiasi cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.
Nachoamini hata hizo za zamani kipindi chake tuliambiwa ni za kisasa na zimeboreshwa compared na za zamani zaidi kama zilikuwepoKuwa na Amani mkuu! Mambo mengi yamebadilika sio kama zamani. X ray machine nyingi kwa sasa, ufanisi ni mkubwa, na kiasi cha mionzi kinachotolewa ni kidogo mno.
Daktari ndiye ana ufahamu zaidi kuhusu Hilo, ikiwa kuna sababu ya msingi ya kupiga x ray zaidi ya moja. Cha muhimu huwaga wanazingatia dose. Kwa ulichokisema sioni kama kuna Jambo la kukuumiza kichwa.Sawa
Hivi wapo watu hufanya x rays hata zaid ya kumi? Kwa maelekzo ta daktari ikiwa kuna umuhimu?
Ni kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.Nachoamini hata hizo za zamani kipindi chake tuliambiwa ni za kisasa na zimeboreshwa compared na za zamani zaidi kama zilikuwepo
Ni kwa asilimia ndogo sana. Mimi ni shafanya kama tano hadi sasa ndani ya mwaka huu.Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu?
HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
Shida ni kwamba nilifanya hospital tofauti alafu nlikuwa sitoi feedback kama nilikwisha fanya ndio maan nakuwa na hofuNi kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.
Sawa mkuu ni za chest an skull?Ni kwa asilimia ndogo sana. Mimi ni shafanya kama tano hadi sasa ndani ya mwaka huu.
Kwa hzo sehemu sensitive kama hzo siwezi nikasemea sana. Yangu ilikuwa ya mkonoSawa mkuu ni za chest an skull?
Ilikuwa hospital moja?
Madaktr walikupa muongozo kwa klla x rays?
Mashine za zamani zimepelekwa wapi?Machine za kisasa zina mfumo wa kutumia mionzi kidogo kutengeneza picha hivyo madhara yake ni kama hakuna kabisa!
X ray ya mapafu ni bei gani approximateNi kweli mkuu! Jinsi muda unavyoenda teknolojia nayo inakuwa, ufanisi wa vifaa nao unaongezaka. Kutokana na uzoefu nilio nao kama biomedical engineer, x ray za siku hizi ni salama mno.
Mkono pia ni sensitive mkuuKwa hzo sehemu sensitive kama hzo siwezi nikasemea sana. Yangu ilikuwa ya mkono
Mashine za Zamani zinatumika pamoja na Vifaa vingine vinavyotumia mifumo ya Komputa (Computed Radiography System) kutengeneza Picha kwa kutumia mionzi kidogo.Mashine za zamani zimepelekwa wapi?