Xiaomi zinafika Tanzania

Xiaomi zinafika Tanzania

have been using xiaomi brand for 4 months now. Its a very nice phone ,fast and gets constant upgrades. I also have their power bank. It is small and convinient in size for 10000 mAh. Planing on importing their tv since i am confident with them
Where can i get their power bank too
 
Official hazifiki ila soon wataanza kuuza Africa na kenya itakuwa ni moja ya nchi za kwanza hivyo na sisi tutazipata tokea kenya
mkuu hizi simu zipo na mimi natumia XIAOMI REDMI NOTE 3 mwaka wa pili sasa. Ajaribu kwenda fb awacheki HIGHLIFE TANZANIA wanazo almost matoleo yote mapya
 
bei za highlife kwa simu si unaenda kenya na kurudi na change inabaki?

ukumbuke point nzima ya xiaomi ni unafuu wa bei, alikuuzia kiasi gani?
 
usilogwe ukaagiza kitu nje kwa kutumia hawa waagizaji wa kibongo wanaweka maslahi mbele tena unapigwa parefu sana. Kwa mfano nilishawahi kumtumia mmoja wao kutoka humu jukwaani kuagiza kitu cha 8$ ila mpaka nakipata cost ilikuwa 30$. Again the same man kitu cha 20$ akataka nilipe 50$.... Ingekuwa sio lawamaa ningeweka namba ya mchina mmoja nafanya nae kazi anakuletea kitu kwa cost ya kwao bila aditional price.
 
Ni kweli nimewacheki facebook xiaomi redmi 4x wanakwambia laki tano na nusu ya kitanzania but negotiable allowed kweli ? Iko juu sana aisee
 
gharama ya shipping ni kubwa mkuu, hasa zinazochukua muda mfupi, unachotakiwa ni kutake advantage ya hio shipping kwa kuagizia vitu vingi kwa mkupuo, mfano vitu vyepesi shipping yake ni dola 30 ukiagizia kitu kimoja cha dola 8 utaambiwa gharama ni dola 38, ukiagizia vitu 10 kwa dola 80 gharama ya shipping itakuwa vile vile dola 30 na jumla itakuwa dola 110 hivyo itakuwa kitu kimoja kimekuja kama kwa dola 3,

hivyo ni vyema kucheza na shipping hapo.

pengine labda huyo mchina ana mwenzake anamtuma ndio maana unaona rahisi, na wengine wananunua tu hapa hapa bongo wanakwambia wametoa nje.
 
Tatizo mtaji hakika ningetumia hii kama fursa .
Manake demand ya product za hii kampuni ni kubwa sana lakini bado Wa TZ hawajajua wanapata wapi hasa hizo bidhaa
 
Ni kweli nimewacheki facebook xiaomi redmi 4x wanakwambia laki tano na nusu ya kitanzania but negotiable allowed kweli ? Iko juu sana aisee
kwa vitu kama powerbank ikizidi 10,000 au 20,000 sio mbaya mi nilinunua highlife powerbank ya xiaomi ya 16,000mah kwa 80,000 niliridhika,

ila kwa simu ya dola 100 kuuziwa laki 5 hapana, sababu laki 5 unapata simu nzuri zaidi hivyo inakuwa haina maana. inamake sense kununua xiaomi sababu ni bei rahisi, ikishakuwa ghali haina maana tena.
 
gharama ya shipping ni kubwa mkuu, hasa zinazochukua muda mfupi, unachotakiwa ni kutake advantage ya hio shipping kwa kuagizia vitu vingi kwa mkupuo, mfano vitu vyepesi shipping yake ni dola 30 ukiagizia kitu kimoja cha dola 8 utaambiwa gharama ni dola 38, ukiagizia vitu 10 kwa dola 80 gharama ya shipping itakuwa vile vile dola 30 na jumla itakuwa dola 110 hivyo itakuwa kitu kimoja kimekuja kama kwa dola 3,

hivyo ni vyema kucheza na shipping hapo.

pengine labda huyo mchina ana mwenzake anamtuma ndio maana unaona rahisi, na wengine wananunua tu hapa hapa bongo wanakwambia wametoa nje.
Ni kweli ishu ya shipping fees ni changamoto sana.
 
kwa vitu kama powerbank ikizidi 10,000 au 20,000 sio mbaya mi nilinunua highlife powerbank ya xiaomi ya 16,000mah kwa 80,000 niliridhika,

ila kwa simu ya dola 100 kuuziwa laki 5 hapana, sababu laki 5 unapata simu nzuri zaidi hivyo inakuwa haina maana. inamake sense kununua xiaomi sababu ni bei rahisi, ikishakuwa ghali haina maana tena.
Iko poa mkuu unainjoy ni tofauti na hizi power bank zefu majina tu.Maana juzi kuna jamaa yangu kauziwa brandy ya samsung power bank ina mAh 10000but kaichaji hata simu moja tu haijai
 
ina zaidi ya mwaka na inafanya kazi vizuri, na ina port 2 moja inajaza upesi ni 2A na nyengine ya kawaida kama 1.2A hivi. japo ni 16,000mah actual charge itakayokupa ni kama 10,000mah huwa kuna umeme unapotea ukicharge. hivyo kwa simu za kawaida unachaji mara 4 au 3 kutokea zero.
 
gharama ya shipping ni kubwa mkuu, hasa zinazochukua muda mfupi, unachotakiwa ni kutake advantage ya hio shipping kwa kuagizia vitu vingi kwa mkupuo, mfano vitu vyepesi shipping yake ni dola 30 ukiagizia kitu kimoja cha dola 8 utaambiwa gharama ni dola 38, ukiagizia vitu 10 kwa dola 80 gharama ya shipping itakuwa vile vile dola 30 na jumla itakuwa dola 110 hivyo itakuwa kitu kimoja kimekuja kama kwa dola 3,

hivyo ni vyema kucheza na shipping hapo.

pengine labda huyo mchina ana mwenzake anamtuma ndio maana unaona rahisi, na wengine wananunua tu hapa hapa bongo wanakwambia wametoa nje.
Sasa kama utanua stores mbalimbali, wataunganishaje mizigo?
 
muone mwl atakusaidia, site kama amazon (wana store zao) wanaweza wakafanya vitu kama hivi, zipo site nyingi za marekani kama bestbuy, newegg etc wanafanya hivyo ukiwa na kampuni ya kati itakayokuchukulia marekani na kukuletea hapa inawezekana.
 
Masoko ya India Xiaomi inaonekana iko chini kuliko gearbest Na banggood au aliexpress
 
Back
Top Bottom