Xiaomi zinafika Tanzania

Xiaomi zinafika Tanzania

Habari zenu wadau nauliza je simu za xiaomi (Mi) zinafika tanzania?

Bila shaka zinafika kiongozi endapo kama utahitaji ndugu.

Unaweza kuagiza kwa msaada zaidi namleta kwako hapa huyu ndugu anaitwa Mwl.RCT

Msaidie huyu jamaa mkuu.

Shukran.
 
Last edited by a moderator:
Official hazifiki ila soon wataanza kuuza Africa na kenya itakuwa ni moja ya nchi za kwanza hivyo na sisi tutazipata tokea kenya
 
Official hazifiki ila soon wataanza kuuza Africa na kenya itakuwa ni moja ya nchi za kwanza hivyo na sisi tutazipata tokea kenya

wachina wako makin sana ku grab market nn kinawafanya kuchelea kuzileta africa? most of the time huku ndio soko lao! inashangaza mpaka leo hawajaanza
 
wachina wako makin sana ku grab market nn kinawafanya kuchelea kuzileta africa? most of the time huku ndio soko lao! inashangaza mpaka leo hawajaanza

Xiaomi si kama wachina wengine, vitu vyao ni high quality na wanaprovide support. Hawawezi tu kuja kuanza kuuza simu halafu ikiharibika upeleke kwa fundi sele inabidi waanze kutengeneza kidogo kidogo miundo mbinu yao.
 
Binafsi hapa natumia Xiaomi Mi5 Prime. Asee sijawahi jutia "kuvuta" hiki kifaa. Kiko very sleek and snappy na UI skin yake iko optimized to the fullest, hautahitaji kuweka launchers wala ku'root device ili upate ile ladha ya Android yenyewe.
Wako vizuri hawa jamaa. Nasubiria tu powerbank yao inifikie.

You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain.
 
Nahitaji sana xiaomi yaani natamani sana swala la kununua online cna mwanga nalo swala la kuagiza napo kuna kijicost kinaongezeka ila hakuna namna aisee wengi wanazisifu sana hizo simu
 
Baada ya kurudi kwenye ulimwengu wa android na huawei P9 acha nisubiri hadi mwakani NOKIA 8
 
Baada ya kurudi kwenye ulimwengu wa android na huawei P9 acha nisubiri hadi mwakani NOKIA 8
Mi mkuu nataka nihamie rasmi kwa hawa wachina maana kuna watu humu wakikuambia kitu ni kizuri kweli ni kizuri chief hajawahi niangusha hata siku moja kila siku amekua akinielekeza nami naanza walau kupata mwanga wa kupambanua features mbalimbali za simu na ubora wake
 
Mkuu hata mimi nawakubali sana xiaomi tena sana ila tatizo la kubwa lililopo ni soko lao lipo sana kwa nchi za ulaya na marekani,kama wakiingia vizuri bongo sidhani kama kuna mtu atanunua mitecno,viwa na itel
 
Ninatumia mi5s ambayo nilinunua mtandaoni banggood.com kama unajali mambo ya 4G inabidi uangalie vizuri kama itakubali network yako. Simu iko poa sana sidhani kama kuna mshindani kwa bei hii.
 
H
Ninatumia mi5s ambayo nilinunua mtandaoni banggood.com kama unajali mambo ya 4G inabidi uangalie vizuri kama itakubali network yako. Simu iko poa sana sidhani kama kuna mshindani kwa bei hii.
Haina 3g mkuu
 
Habari zenu wadau nauliza je simu za xiaomi (Mi) zinafika Tanzania?
- Ndio huwa zinafikishwa nchini
- Mfano hii pichani nimenunua tarehe 22/08/2017 - Ndani ya siku 15 itakuwa mikononi.
- Kwa taratibu za kufanya order ya simu yeyote tafadhali tembelea hii thread: www.bit.ly/101buy4me

upload_2017-9-2_21-12-21.png
 
Mkuu gharama zako ni kubwa kuliko mtu kufanya direct shipping kupitia FOB yeye mwenyewe ya mzigo ?
weka vyema swali lako ili nikupe ufafanuzi wa kutosha

FOB price daima huwa ni ndogo sana, kuthibitisha hili ingia alibaba.
Ila kiuhalisia ukipewa CIF ndio utapata picha kamil ya ghalama
Daima unapofanya mazungumzo ya kibiasha na seller yeyote omba akupatie CIF price.
 
have been using xiaomi brand for 4 months now. Its a very nice phone ,fast and gets constant upgrades. I also have their power bank. It is small and convinient in size for 10000 mAh. Planing on importing their tv since i am confident with them
 
Back
Top Bottom