Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Habari wajukwaa nawengine kwa ujumla.Naomba kwa yeyote yule ambaye anauza simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabisa aniuzie .Hapa nazungumzia simu ambayo iko kwenye box kabisa nahaijatumika ata kidogo ,najua kampuni hiyo ya simu inauza simu zake online tu hivyo upatikanaji wake ni mgumu kidogo ila najua humu jukwaani sitakosa watu wanaouza .0713671062 nicheki hapo utaniata