Xiaomi Mi band 2

Xiaomi Mi band 2

For sure sina mda mref..Ndomana nimeiweka hapa...nataka unambie shida ya hii order
Kwenye hiyo order kwenye sehemu ya kuchagua kuna option nyingi za kuchagua bundle ya hiyo item, so hiyo USD 10 ni bei ya component moja tu ya hiyo mi band ambayo ni strap only, bila mi band, bei halisi ya hiyo tracker ni USD 27.
 
Mbona ipo out of stock? Kuna walakin, lazma uangalie vizuri unaweza kulipia then bidhaa ikawa ni hewa, hiyo bei haiendani na thamani halisi ya bidhaa. Ebay scammers wengi.
Bas scammers wa ebay wapo vizur..kias cha kupata feedback nzur na bado wakwa wahun kias hicho..pamoja boss nme unlock vitu kadhaa..
 
HII STANDARD SHIPPING INAKUWAJE MZIGO UTAUPOKELEA WAPI?
upload_2018-4-7_11-51-31.png
 
HII STANDARD SHIPPING INAKUWAJE MZIGO UTAUPOKELEA WAPI?
View attachment 737135
Mzgo utaupata kweny posta iliyo karbu nawe...make sure unajaza adress yako kwa usahihi..hasa post code...hiyo standard shipping unalipia kias kdgo tu na mzgo unafka mapema kulko free shiping
 
Mzgo utaupata kweny posta iliyo karbu nawe...make sure unajaza adress yako kwa usahihi..hasa post code...hiyo standard shipping unalipia kias kdgo tu na mzgo unafka mapema kulko free shiping
ASANTE MKUU NIMEELEWA SASA ILA HAUWEZI KUUTRACK MZIGO WAKO KWA HIYO NJIA?
 
Back
Top Bottom